The World is a flat plane and not a globe

Tumia google yako vizuri usitake kurahisisha mambo. Ingia mtandaon soma unachokitaka. Usisingizie watu wa jf

We baki kusema story watu wanadiscover vitu huko mbele.

Kama ukiwa huamin sayans na utabir wa hali ya hewa usiuamin na ukiambiwa tetemeko linakuja usiamin. Kuna juha mwenzako hapo juu anasema et Hakuna satellite ni uongo tu. Hv mmekula maharage ya wap nyie viumbe???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kuzingatia nini na nini ?

Mimi nakuuliza swali, kati ya circle na straight line kipi huanza kuwepi kisha kingine hufata ?
Kuwa reasonable mbona nilichokuuliza kinaeleweka kabisa!

-Kama straight line inagusa a point katika cycle then imagine you are 100× smaller than that point. Unafikifi in your perspective utaweza tofautisha straight line from a cycle.?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushawahi kuhoji juu ya mambo ya Sayansi ?

Vipi inakuwaje watabiri wa hali ya hewa wanapo tabiri kisha kisitokee kilicho tabiriwa ? Acheni uvivu wa kufikiri. Watabiri wabahatishaji kama wabahatishaji wengine.
 
Kaka nilikutangulia kwa hilo swali ulilo uliza, sababu nyinyi mnaamini ya kuwa duara limeundwa na points nyingi sana, kitu ambacho nikikuomba ushahidi huwezi kuthibitisha hilo.

Kwahiyo pupa yako, imekufanya ukosee katika kuhoji, yaani umekosea kukosoa. Swali langu bado la msingi kwa maelezo yaliyotangulia hapo juu.

Unatakiwa kwanza ujue point ni nini, kisha chora duara na straight line ipite kisha utuonyeshe straight lie imegusa point gani.

Sijawahi kuona watu wavivu wa kufikiri na kuhoji kama Wanafalsafa,Wanasayansi na Watu wa mahesabu, yaani wanajitengezea nadharia kisha wanaishi katika nadharia hizo.
 
Hahaha dah

Mungu saidia huyu mjinga

Nmeishiwa hadi nguvu ya kuongea

Quantum physics made phone you are using now you idiot

Kivipi ? Maana katika topic ambayo nilikuwa nahoji akili yangu katika hali halisi naona maigizo ni hii.

Tupe faida, Quantum Physics imetengeneza vipi simu au ina mchango gani katika simu na uwepo wake ?
 
Hizi hapa ya meli ni kuwa picha ya kwanza ulikuwa unaona bahari tu ikavutwa,yenye kama wingu ni higher humidity.zingine ni hiyo distance.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka ndio maana nasema hivi, unacho kiona wewe ni ule ukomo wa hicho kifaa, ila kifaa hakionyeshi kwamba hapo ndio mwisho. Sijui kama unanielewa.

Ukiangalia hizo picha kwa umakini, ni kuwa inaonyesha matokeo ya utambarare kulingana na upeo yaani ukomo wa kifaa hicho. Maana ukisema usogee kutoka hapo ulipo ukaenda umbali wa mile kadhaa ukapima tena lazima utaona ukomo wa tambarare.
 
Shida yako umejiandaa kubisha, paka huu mjadala naona kama napoteza muda tu. Huwezi kumshawishi mtu kwa atitude hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
What the f... Ck amenikera alivyoitukana quantum physics hapa

Hajui lolote kuhusu quantum physics yaani kanikera balaa nashindwa nimwambiaje huyu jamaa

Ila nmemwona ni mjinga wa mwisho aisee

Some people are stupid aisee
Elezea maujanja ya Quantum Physics, usiishie kukereka tunataka tupate faida kutoka kwa mashabiki wa Sayansi.
 
Kivipi ? Maana katika topic ambayo nilikuwa nahoji akili yangu katika hali halisi naona maigizo ni hii.

Tupe faida, Quantum Physics imetengeneza vipi simu au ina mchango gani katika simu na uwepo wake ?
Huwezi kunielewa kama hukumwelewa mwalimu wako

Siwezi poteza muda wangu kuongea na wajinga wasio tayari kujifunza

Yoi have never been ready to learn zuri never

You are mr criticize

I can't waste my time

Nisiongeze tu frustration hapa

Jioni nisije kosea kumfanyia operation mtoto wa watu
 
Kutokuelewa kwa jambo fulani husababishwa na sababu nyingi, moja wapo ni yule anae elewesha akawa hajui kile anachokielewesha, hili huwa tatizo.

Na changamoto ambayo tunayo kutana nayo na watu kama nyinyi ni kushindwa kwenu kujibu maswali marahisi kwa kichaka ya kuwa hatutaelewa na kwamba mnapoteza muda, huku mnajidanganya wenyewe.
 
Ushawahi kuhoji juu ya mambo ya Sayansi ?

Vipi inakuwaje watabiri wa hali ya hewa wanapo tabiri kisha kisitokee kilicho tabiriwa ? Acheni uvivu wa kufikiri. Watabiri wabahatishaji kama wabahatishaji wengine.
Wap labda wametabir haijatokea???


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…