NASA ni kundi la jesuits ,kwenye uzi nimeongezea kwenye topic we soma taratibu kama upo real serious maana mnafanya kejeli kwenye mambo ambayo yanawahusu viumbe sisiOn a serious note, umeshaweka ushahidi kwamba NASA wanazuia watu ku -fly around the Earth to prove whether it's flat or not? Or you just came up with another conspiracy theory?
PS, usinijibu kwa picha.
Aliweka picha ya arntactica na barafu zakeAmesindikiza na ushahidi? Au ameandika uzushi tuu.?
Kamwe jua haliwezi kuizunguka dunia. KAMWE NA NITAAMINI HIVYO MPAKA SIKU NAINGIA KABURINI.
Sent using Cash Money Wings
Kijana nikisema naishi katika hayo mambo ujue na maanisha na ndio maana nimekuoa uwanja uandike unacho kijua una taja majina, kaka habari za kina Werner Heinsberg nazijua na nadharia yake tunaitumia sana katika method moja wapo ya kupima Earth Resistance, kijana kuhusu kina Schrodinger nakumbuka nilimsoma nikiwa chuo mwaka wa pili au wa kwanza, kwahiyo haya mambo nayajua kuliko unavyo fikiria.
Kijana weka mambo uone tofauti kati ya ushabiki, kukariri na kuelewa na kujenga hoja.
Kwahiyo sasa kama ukitaka tushindane kutaja majina, kazi hii rahisi sana. Wewe elezea vitu, au mpaka tuanze kuandika fani zetu ni zipi, ndio ujue unajadiliana na watu wa sampuli gani ? Sasa acha uoga.
Niambie haya ni ya uongo jamani.Wameamua kwamba hizi nuclear zinatengenezwa ili tupasue kioo kilicho juu yetu, na mmarekani ni selfish sana hataki wengine wawe na nuclear wapasue kioo, wanataka wapasue wenyewe.
Duh, ni post namba ngapi nikaone?NASA ni kundi la jesuits ,kwenye uzi nimeongezea kwenye topic we soma taratibu kama upo real serious maana mnafanya kejeli kwenye mambo ambayo yanawahusu viumbe sisi
Sent using Jamii Forums mobile app
Alaah! Ni post namba ngapi?Aliweka picha ya arntactica na barafu zake
AiseeDah
Diameter ya jua ilipimwaje mkuu?
Ni mambo ya kufikirika tu.
Kama ambavyo unaona dunia ni kubwa saaaaana kiasi kwamba mtu hawezi kuhisi kama ina move kutokana na udogo wake huyo mtu ns dunia ni kubwa,basi ndo hvyo hvyo dunia flat ni kuubwa sana kiasi kwamba lile jua mwanga wake haufiki pande zote za dunia kwa sababu dunia ni kubwa sana.
Kumbuka hapo juu kuna mavitu vitu mengi hapo ya hewa na mamoshi n.k hivyo vinaweza kufanya mwanga usifike mbali duniani kote
Sent using Jamii Forums mobile app
Mama na baba.
Mkuu hizo akili ulizo nazo mm sina. Nafanyia kazi uhalisia si nadharia.
Sina mpango wala sina nyenzo za ugunduzi wa kuishtua dunia hivyo uwezo wangu upo kwenye kulipa kodi watoto warithi dunia iwe flat au mvirimgo.
Hapa nafurahia tu kusoma imani yako ilivyo strong kanakwamba unampango wa kutukomboa watz kutoka kwa wanasayansi na NASA
AiseeWameamua kwamba hizi nuclear zinatengenezwa ili tupasue kioo kilicho juu yetu, na mmarekani ni selfish sana hataki wengine wawe na nuclear wapasue kioo, wanataka wapasue wenyewe.
No body went outside of the dome hizo ni fiction,kwenye uzi nimeandika upya mwanzo wa topicNiambie haya ni ya uongo jamani.
Ni kweli ndicho kilichojadiliwa?
Aisee bora ukae kimya kuliko kuweka upumbavu wako hapa uliokaririshwa darasani
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo bro, natazama mpambano kwanza... Ila soon mambo yatakuwa vizuri.Nimefurahi kukuona huku. Bado una deni letu mkuu.
Sent from my Nokia 6.1 Plus using Tapatalk
Duh, ni post namba ngapi nikaone?
Usichoke kunielekeza, akili yangu nzito kidogo.
Halafu bado unaiamini Sayansi ya anga. Hawana misimamo watu hao sababu msingi wa elimu yao ni dhana na majaribio, ona leo kama hiyo tasrifa ni ya kweli, ona wamekuja na na habari za kuwa Dunia ina umbo la box, baada ya miaka fulani watakuja kusema umbo la dunia ni kama la nyoka.Jibu ni dunia ni ya kibox.View attachment 1337242
I cannot help but laugh.
I wish dunia ingeruhusu FREE THINKERS. Hakuna kitu cha hovyo maishani kama kujivunia knowledge ya kukariri.We unavyofikiri nje ya dunia ni kuanzia wapi? Juzi tu mwaka jana kuna chombo imetumwa inaenda kuingia ndani ya jua kabisa!!Nyie mnakazana kujadili nadharia ambazo watu walikomaa nazo mpaka wakapoteza maisha kwa kuzipinga.Yani hamkubali efforts alizofanya Gallileo mpaka mamlaka ya Roma iliyokuwa inaamini dunia ni tambarare kama meza ikamuhukumu kifo,kabla ya baadae kuja kuthibitika kuwa ni ya mfano wa duara.Kabisa mtu unakazana eti hakuna picha iliyopigwa nje ya dunia, wakati hata drone na rockets zinakuwa launched zinaenda katika space na outer space, mtu unapinga kwa vitu ambavyo hakuna taasisi yoyote ya kielimu wala kitaalamu inayokubaliana!!! Wachina nao walishafanya route za mwezini, nadhani hata russia.Wakenya hapo jirani zetu washarusha sattelite yao kwa mafanikio outer space, na hawako katika hizo contracts zq nchi 14 mlizosema.Haya ndio matatizo ya kuwa vizuri kichwani kwa sababu ya long extended memory na uwezo mkubwa wa kukariri,lakini analysis 0. Yani unafaulu mitihani tu lakini hauwezi kufanya analysis.Na ndio mnakuja kuwa ma Professor mnaotukwamisha tukiwaamini na kuwapa nafasi za kutuongoza.Yani unakataa kabisa kuwa hakuna sattelite katika space tehee tehee yani kwa point hiyo tu inabidi tukiri "nyinyi hamna kitu" yani Sattelite hakuna ila katika mchoro mmoja wa evidence heaven, na heaven of heaven na destination ya God ipo.Wakati katika vitabu vyote hakuna mtu kawahi kumwona Mungu looh!!!
Mada ni fikirishi sana ingawa bado nasubiri facts za mtoa mada ili nichague upande.
Mkuu mtoa mada hukutakiwa kuanzisha uzi mgumu kama huu kwa kutegemea kutoa facts zako kwa kuulizwa maswali tu maana sio wote wanajua unavyojua wewe. Mfano mzuri angalia wewe na baba swalehe wote wataalamu wa quantum physics lakini bado kila mmoja anahisi mwenzake haijui vizuri quantum physics sembuse sisi tusioijua hata kuiandika?
Tunaomba utuambie ni kwa nini dunia ikiwa spherical sisi tunapunjika halafu wao wananufaika??
Kwanini gateway to the other side of the flat earth iwe antarctic peke yake na sio arctic pia au sehemu nyingine yoyote.
Hebu tusiongelee quantum physics kwa sasa bali tuelezee unayoyajua kuhusu dunia tambarare mkuu