The World is a flat plane and not a globe

Nadhani tunapishana uelewa wa nia na madhumuni ya Antarctic Treaty mkuu, rudi usome tena from credible sources.

Antarctica ndio bara pekee halikaliwi na watu kwa sababu mazingira si rafiki kuishi. Mataifa hayo walisign treaty kuhakikisha hakuna taifa litakalo-claim Antarctica ni mali yake na kuzuia nchi yoyote kuweka kambi na operation za kijeshi.

Hakuna anaezuiwa kwenda Antarctica, tena kuna scientific expeditions kibao wanaenda kila mara mkuu mpk NAT GEO na Discovery wanaonesha hizi mambo na wanafika mpk kwny geographical south pole. Hakuna ukuta wa barafu sijui hizo dome..... nehi nehi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gravitational force of sun on earth balances the centripetal force of earths movement around the sun , hivyo huhisi chochote.
 
Jamaa alivyo wa ajabu anapost picha ya Meli ikiwa pembezoni mwa ukuta wa barafu katika Antarctic! Angetupostia mbele ya huo ukuta ili tuone mwisho wa ardhi na chini ya Dunia ili tumwaminie!
 
Aisee kweli kuna watu wako stone age, na huwez kubishana nao maana hawajui kwa nini USA anachukizwa zaidi na silaha za nyuklia za north korea kuliko za iran.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…