The World is a flat plane and not a globe

[emoji23][emoji23][emoji23]kuwa serious eti ndani ya jua nimecheka duh watu ni shida
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alivyoandika tu kaona Alliens, hata sikuhangaika ku reply pale[emoji2][emoji2].Kisha akasema aliona Alliens wakati anafunga dish.Nikawa nawaza, Nigga is seeing things, huenda anatakiwa kucheki wale mnaowaita psychiatrist sijui[emoji2][emoji2][emoji2]
Hivi umesoma nilichoandika ,na elimu si ushindani very shamefull.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuliza akili kijana.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha mkuu bora unisaidie unayoyasema ni flat earth inayo na nembo ni ya wakuu wao
Kama dunia duara kwanini nchi zilizo kizio cha kaskazini zipo karibu karibu lakini zilizo kizio cha kusini ziko mbali mbali sanaaa?

Na kwanini hakuna ramani ya kizio kusini kilivyo ila ramani ya kaskazini ipo?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Alivyoandika tu kaona Alliens, hata sikuhangaika ku reply pale[emoji2][emoji2].Kisha akasema aliona Alliens wakati anafunga dish.Nikawa nawaza, Nigga is seeing things, huenda anatakiwa kucheki wale mnaowaita psychiatrist sijui[emoji2][emoji2][emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu huyu Jamaa anafananisha Dunia na Sinia, Jua analifananisha na torch inayo mlika mwanga wake kwa kuzunguka kingo za Sinia!
 
Kama dunia ingekuwa flat. Ilitakiwa nikiwa hapa niuone Mlima Kilimanjaro uleeeeeeeeeeeeeeeeeee. Au nikigeuka kwa hivi niuone Mlima Everest Uleeeeeeeee. Ila siri ya dunia aijuae ni yule aliyeiumba ambaye ni Mungu.
 
Huwezi kuona kutokana na vizuizi vinavyofanya macho yako yasipate taswira kamilifu kama vumbi,ukungu n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…