The World is a flat plane and not a globe

Ok
IMG_20200308_104636_885.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HAPA NDO UCHIZI ULIPOANZA YANI MTU MMOJA KAVURUGA KILA KITU TENA KWA KUAMINI YEYE BINAFSI ANAVYOONA LICHA YA HIVYO KIUHALISIA ILIKUWA NI MPANGO TU.
IMG_20200308_112905_269.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tueleze kidogo nini hutokea wakati wa jioni tunaona hljua linazama chini ya mlima au ziwa
Am a flat earther tupo millions and millions worldwide,flat earther ni yeyote mwenye kujitambua na kutumia hypothetical thinking sio kutumia fikra za binadamu wengine kufikiri.

Tunajivunia ukweli na uumbaji sio big bang from a priest,globe shape from copernicus,evolution from darwin ambazo hizi zote ni theory na sio facts maana you cannot prove but assume ,experiments hazikubali,vyanzo hakuna ,majibu hamna na bado mnasema mnaenda mars are you kidding me??

THE EARTH HAS PRESSURIZED AIR AND EMPTY SPACE HAS VACUUM OR IS A VACUUM,THEN WHAT IS THE BARRIER BLOCKING AIR FROM THE VACUUM?

COMBUSTION NEEDS AIR TO PUSH KAMA KWENYE ROCKET NINI KINAPUSH ROCKET KWENYE VACUUM,CAUSE THERE IS NO AIR?

hata sisi tumesoma science from primary to universities but we have let ourselves free from indoctrination.

Kuta za barafu tafuta helicopter fata compass yako uelekeo wa south ukikuta ukuta wa barafu anza kuuzunguka ,huwezi tafuta kazi zingine za utumwa endelea nazo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hit direct to the Ntonku
 
Jua kuzama ni perspective ya macho yetu na umbali wa jua kutoka pale tulipo ,mf ukichukua taa ukampa rafiki yako aondokee nayo kwenye mstari ulionyooka itafika muda hutuiona hio taa sasa hali hiyo tunaita sunset.
Tueleze kidogo nini hutokea wakati wa jioni tunaona hljua linazama chini ya mlima au ziwa

Hit direct to the Ntonku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa upande wa Vitu kama Meli na vinavyotembea chini hawa flat Earthers walisha sema vinapotea kwasababu uwezo wa macho yetu ni mdogo kuona mbali! Umefika Wakati watuelezee ni kwanini jua linalotoa mwanga likiwa umbali mrefu juu angani lisionekane usiku!

Kitu ni hicho hicho jua ni dogo sio kubwa unavyofikiria dunia ni kubwa sana jua ni taa iliyo angani inazunguka

Wewe unapenda kubishana sana na haukubali kushindwa !Watu wengi tunajuwa kwamba Jua liko kwa juu umbali mrefu sana toka aridhini tofauti na Vitu kama Meli na Magari vinavyotembea chini lakini bado unaweza kuviona kwa Darubini Vinapo potea machoni! Swali :Inakuwaje Jua lilopo juu angani lisioneka usiku ikiwa kilichopo ardhini chini kikipotea machoni kitaonekana kwa darubini?! Je unaweza kutuelewesha ukubwa wa jua ni kiasi gani na mpaka ukiliona Dar bado nakule brazzavile linaonekana kwa wakati mmoja tofauti ya saa 1?! Na pia ni nani katika flat Earthers alisha fanya mission kutuma chombo kupima ukubwa wa jua?!
 
Sibishani hilo ni moja sina huo muda pili chombo cha nini wakati tunaliona lipo hapo juu na mwisho tupime ukubwa wake ili iweje?

Juu kadri linapoacha sehemu husika kuelekea sehemu nyingine hupotea kwenye taswira na eneo hilo kukaribisha giza hivyo tunaita sunset.

Ukishindwa kucomprehend hicho nachokuelewesha bora tuishie tu hapo.

Je ukienda huko Vijijini pasipo kuwa na Viwanja vya Ndege,na ndege ikapita kwa juu unaweza kuwaeleza Watu kuwa ule ndo ukubwa halisi wa ndege unavyoonekana kwa juu angani?!
 
Ndio ,ule ni ukubwa wa ndege navyoona na ikiwa chini pia ukubwa wake nao utakuwa ni vile navyoona ,na account kitu kwa taswira because every sight is about perception view.

Jua ndo jinsi linavyoonekana na effects zake zinaprove ni dogo kwakuwa linamulika sehemu linapopita ndani ya mzunguko wake.

Jua hata utake liwe ukubwa unaotaka wewe haliwezi mulika dunia yote maana ni dogo sana ukilinganisha na ukubwa wa dunia.

Kama umesema ndege ikiwa juu ndo hivyo ilivyo na ikitua chini ukubwa wake ndo hivyo unavyo onekana! Upande wako kuhusu jua ni perception sight coz hujawahi kulikaribia ukaona ukubwa wake na jua haliwezi shuka chini uweze kuona ukubwa wake halisi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom