FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,500
- 8,065
Swali hilo haliwezi kujibiwa na flat-earthers sababu muundo mzima wa flat-earth ni illogical. Hilo swali watalikimbia tu!Ukitazama hapo Jua ni mviringo nasiyo nusu duara lakini lina toa mwanga wake kuelekea kwenye uso wa Dunia kwa mfumo wa nusu duara iliyo na nusu kipenyo kumbuka mwanga usafiri kwa kunyooka na jua haliwezi kufikisha mwanga wake chini kwa mwonekano wa mstatili au mraba! Swali :Kwanini Jua lisitoe mwanga wake kwa Mzunguko kutokana na umviringo wake na center ya sehemu yenye giza ikeviwe na mwanga wa jua sio huo mwanga wa nusu duara tunao uona hapo kwenye hiyo flat Earth yenu?! Na ukitaka kuthibitisha kuna sehemu mnakwama,Wewe chukua tochi yenye kioo cha duara mlika chini uone chini kama mwanga sio wa duara!Kama umeshindwa kuliona hilo mapema na Wewe pia ni miongoni mwa Watu wasio tumia vema akili zao kufikilia vema?!
Jua hilo hilo katika nyakati tofauti linabadili sura ya mwangaza wake, linabadili njia katika mzunguko, linasogea "north" kisha baadaye tena linahama kuiacha "north" hapo hapo linahitaji kukamilisha mzunguko wake kamili wa kila siku. Hahaha!
Huwezi kuwa na ufahamu sahihi ukakubaliana na huo upuuzi wa flat-earthers.
Flat-earthers ni kikundi cha uzushi na mizaha tu ifanywayo na watu wajuao wakifanyacho.
Wakiwa proved wrong kuhusiana na uzushi wao, wanatunga uzushi mwingine mpya ilhali wakijua kabisa kuwa ni uzushi na kwa makusudi hawataki kukubali, hakuna uhalisia wowote wala mantiki katika hizo theories zao, wala uthibitisho wowote juu ya hayo madai yao!
Jambo la kustaajabisha ni kuwa, kuna kundi jingine ambalo linadiriki kuipokea na kuiamini hiyo mizaha bila kufikiri wala kuhoji. Miongoni mwao ndiyo hawa wadandiaji tunaokutana nao mitandaoni kila siku.
Ni wadandiaji tu ambao wameamua kuwa wavivu wa kufikiri.