The World is a flat plane and not a globe

The World is a flat plane and not a globe

.
IMG_20200307_094611_216.JPG
IMG_20200307_095006_827.JPG

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Am a flat earther tupo millions and millions worldwide,flat earther ni yeyote mwenye kujitambua na kutumia hypothetical thinking sio kutumia fikra za binadamu wengine kufikiri.

Tunajivunia ukweli na uumbaji sio big bang from a priest,globe shape from copernicus,evolution from darwin ambazo hizi zote ni theory na sio facts maana you cannot prove but assume ,experiments hazikubali,vyanzo hakuna ,majibu hamna na bado mnasema mnaenda mars are you kidding me??

THE EARTH HAS PRESSURIZED AIR AND EMPTY SPACE HAS VACUUM OR IS A VACUUM,THEN WHAT IS THE BARRIER BLOCKING AIR FROM THE VACUUM?

COMBUSTION NEEDS AIR TO PUSH KAMA KWENYE ROCKET NINI KINAPUSH ROCKET KWENYE VACUUM,CAUSE THERE IS NO AIR?

hata sisi tumesoma science from primary to universities but we have let ourselves free from indoctrination.

Kuta za barafu tafuta helicopter fata compass yako uelekeo wa south ukikuta ukuta wa barafu anza kuuzunguka ,huwezi tafuta kazi zingine za utumwa endelea nazo.

Swali hilo haliwezi kujibiwa na flat-earthers sababu muundo mzima wa flat-earth ni illogical. Hilo swali watalikimbia tu!

Jua hilo hilo katika nyakati tofauti linabadili sura ya mwangaza wake, linabadili njia katika mzunguko, linasogea "north" kisha baadaye tena linahama kuiacha "north" hapo hapo linahitaji kukamilisha mzunguko wake kamili wa kila siku. Hahaha!

Huwezi kuwa na ufahamu sahihi ukakubaliana na huo upuuzi wa flat-earthers.

Flat-earthers ni kikundi cha uzushi na mizaha tu ifanywayo na watu wajuao wakifanyacho.

Wakiwa proved wrong kuhusiana na uzushi wao, wanatunga uzushi mwingine mpya ilhali wakijua kabisa kuwa ni uzushi na kwa makusudi hawataki kukubali, hakuna uhalisia wowote wala mantiki katika hizo theories zao, wala uthibitisho wowote juu ya hayo madai yao!

Jambo la kustaajabisha ni kuwa, kuna kundi jingine ambalo linadiriki kuipokea na kuiamini hiyo mizaha bila kufikiri wala kuhoji. Miongoni mwao ndiyo hawa wadandiaji tunaokutana nao mitandaoni kila siku.

Ni wadandiaji tu ambao wameamua kuwa wavivu wa kufikiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😃😃Boss mbona una mada duble duble, kwa hiyo Earth ikiwa kama yai inamkataa Mungu wenu, na ikiwa flat inamkubali Mungu wenu, tuelekeze huko katika huo ukuta kuna nini au ndio wayahudi wanatajirikia huko?Mkuu sayansi zako tumia kutukomboa ndugu zako hapa Tanzani hiyo dunia bapa kwa sasa haitusaidii kitu na huu ni mwaka wa uchaguzi,tuendelee kula msoto kama nchi japo wachache mnaishi vyema....
 
Boss mbona una mada duble duble, kwa hiyo Earth ikiwa kama yai inamkataa Mungu wenu, na ikiwa flat inamkubali Mungu wenu, tuelekeze huko katika huo ukuta kuna nini au ndio wayahudi wanatajirikia huko?Mkuu sayansi zako tumia kutukomboa ndugu zako hapa Tanzani hiyo dunia bapa kwa sasa haitusaidii kitu na huu ni mwaka wa uchaguzi,tuendelee kula msoto kama nchi japo wachache mnaishi vyema....
Biblia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😃😃Boss mbona una mada duble duble, kwa hiyo Earth ikiwa kama yai inamkataa Mungu wenu, na ikiwa flat inamkubali Mungu wenu, tuelekeze huko katika huo ukuta kuna nini au ndio wayahudi wanatajirikia huko?Mkuu sayansi zako tumia kutukomboa ndugu zako hapa Tanzani hiyo dunia bapa kwa sasa haitusaidii kitu na huu ni mwaka wa uchaguzi,tuendelee kula msoto kama nchi japo wachache mnaishi vyema....
Halafu mungu wanae mhubiri humu hawa flat Earthers uwezo wake utakuwa mdogo kama anashindwa kuzuia Watu na Vitu kuishi kwenye Globe Earth! Kama ni Mungu wa Mbinguni tunajua uwezo wake ni mkubwa hauna limit ndiye anafanya kila kitu kinaendelea kubaki kwenye Globe Earth!
 
Unatumia nini kufikiri?
Halafu mungu wanae mhubiri humu hawa flat Earthers uwezo wake utakuwa mdogo kama anashindwa kuzuia Watu na Vitu kuishi kwenye Globe Earth! Kama ni Mungu wa Mbinguni tunajua uwezo wake ni mkubwa hauna limit ndiye anafanya kila kitu kinaendelea kubaki kwenye Globe Earth!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom