The World is a flat plane and not a globe

The system
6%20Secrets%20%E2%80%9CThey%E2%80%9D%20Don%E2%80%99t%20Want%20You%20to%20Know.gif

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inachukua masaa mangapi toka kwenye ukuta wa barafu mpaka kwenye hiyo firmament na ni umbali kilometers ngapi?!
Thats classified and its very confidential no civilian knows rather than the higher governments and afteral hata ndege haziruhusiwi kuvuka southpole kwakuwa wanajua its not far much zitaenda gonga dome.

Just do your research man,he ni kwa faida yako,hivi vitu vikoconnected sana na vinafanyika nyuma ya pazia kwahiyo inahitaji jicho la tatu wakati unatafiti sio mehemko,hekima hufungua maarifa zaidi.

Unajuwa bado unajichanganya na unasabisha maswali mengi juu ya unacho kitetea hapa ! Nyie flat Earthers mlipata kutoka kwa nani taarifa ambayo ni classified and confidential?! Kwa Antarctic unayo tuonesha hapa ni kubwa kuzunguka Dunia na kuliko eneo linalo kaliwa na Watu! Ulinzi wa Mipaka ya Nchi na Nchi inashindikana kulindwa na bado Watu wana penya kiharamu! Itawezekanaje huko pakubwa zaidi kuzunguka Dunia Kila nafasi iwe na Ulinzi wa kuwashinda Watu kupenya?! Ulishasema Dome yenyewe ni ngumu rocket ilishaga wahi kuigonga ikalipuka na kuanguka chini. Wewe unafikiri Mamlaka wanashindwa kuweka rada na mawasiliano ya kuongoza Ndege zisigonge kwenye Dome?!
 
Nimekuambia kama unataka picha vuka hizo ice walls nenda kapige ukikuta hakuna dome then prove me wrong.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unayesema kuna dome ndo unatakiwa uthibitishe kwamba ipo sio kazi yangu hiyo. Unasema dome ipo halafu unataka mimi ninayesema haipo nithibitishe?

KISICHOKUWEPO HAKITHIBITISHIKI KWAMBA HAKIPO.

Wewe usemaye hiyo dome ipo vuka hilo barafu tuletee uthibitisho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Issue ni kuwa ukichukua picha za dome utaprove uwepo wa MUNGU na dhana nzima ya space science itakuwa ni ujinga ndo maana panalindwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeshindwa thibitisha umeishia kusema panalindwa conspiracy hizo mkuu.

Ukiwa muumin wa conspiracy theories kila kitu utahisi unadanganywa.

Hao walinzi umewahi kuwaona? Unaweza thibitisha kwamba wapo? Ni kutoka nchi gani?

Kwa hiyo kwenye masuala ya space hata mahasimu kama Marekani, China na Russia huwa wanaweka uhasimu pembeni halafu wanaungana kutudanganya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
REALITY umeseema pale juu kwamba ukifika kwenye dome utaprove uwepo wa Mungu na wenyewe hawataki.

Hizo dini na habari za Mungu nani alizileta huku kama si wao iweje leo wazuie watu kuthibitisha uwepo wake? Hii ngumu kumeza mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeshindwa thibitisha umeishia kusema panalindwa conspiracy hizo mkuu.

Ukiwa muumin wa conspiracy theories kila kitu utahisi unadanganywa.

Hao walinzi umewahi kuwaona? Unaweza thibitisha kwamba wapo? Ni kutoka nchi gani?

Kwa hiyo kwenye masuala ya space hata mahasimu kama Marekani, China na Russia huwa wanaweka uhasimu pembeni halafu wanaungana kutudanganya?

Sent using Jamii Forums mobile app
.
IMG_20200129_011008_939.JPG
IMG_20200129_010945_661.JPG
IMG_20200129_004456_263.JPG

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Be bright for a sec
Unajuwa bado unajichanganya na unasabisha maswali mengi juu ya unacho kitetea hapa ! Nyie flat Earthers mlipata kutoka kwa nani taarifa ambayo ni classified and confidential?! Kwa Antarctic unayo tuonesha hapa ni kubwa kuzunguka Dunia na kuliko eneo linalo kaliwa na Watu! Ulinzi wa Mipaka ya Nchi na Nchi inashindikana kulindwa na bado Watu wana penya kiharamu! Itawezekanaje huko pakubwa zaidi kuzunguka Dunia Kila nafasi iwe na Ulinzi wa kuwashinda Watu kupenya?! Ulishasema Dome yenyewe ni ngumu rocket ilishaga wahi kuigonga ikalipuka na kuanguka chini. Wewe unafikiri Mamlaka wanashindwa kuweka rada na mawasiliano ya kuongoza Ndege zisigonge kwenye Dome?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom