The World is a flat plane and not a globe

Toa hizo theory bana acha kuzunguka hapa,kama kuta za barafu huzioni basi hilo ni tatizo lingine,umeenda ukakuta hazipo?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesema nikuoneshe theory, hiyo ni mojawapo ya theories za flat-earthers, hulijui hilo? Wewe ni flat-earther wa namna gani usiyefahamu misimamo wa imani yenu wenyewe?

Unaweza kuthibitisha kuwa wewe ni flat-earther na si mzamiaji tu?
 
Kuliacha jua nyuma kwa mtazamo wako ni spinning ama revolving?

Mnataka uthibisho upi huo angali unaona kila kitu kwa macho yako ?

NASA watupe details zao za mwezini na hizo za mars kama wanakifua,ama wachukue watu wawili tu ambao ni flat earthers twende space kama wanakifua.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Flat earther sio imani ni uhalisia na pia dunia nzima since ages wanafahamu dunia ni flatdisk,ila kwakuwa uko indoctrinated inahitaji nguvu ya ziada kurudisha fahamu zako.

Unaweza thibitisha dunia inatembea ,ukisema utumie huo mfano wa gari ntacheka sana,sasa fanya hivi sisi tupo juu ya dunia na sio ndani kwahiyo kwenye mfano wa gari mtu akae nje ya gari na sio ndani tujue atahisi chochote ama laah.

Kama umeweza tumia mfano wa gari kwa dunia kwanini ushindwe kutumia ukaaji wa maji katika bakuli na mpira??
Umesema nikuoneshe theory, hiyo ni mojawapo ya theories za flat-earthers, hulijui hilo? Wewe ni flat-earther wa namna gani usiyefahamu misimamo wa imani yenu wenyewe?

Unaweza kuthibitisha kuwa wewe ni flat-earther na si mzamiaji tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii nadharia ya miti kurudi nyuma huwa Naidakia kila niionapo labda mnivumilie tu kwenye hilo....

Hivi kweli kabisa kitendo chakuliona jua likitembea ni sawa sawa nakuiona miti ikitembea tuwapo katika gari?

Tulidanganywa sana na nasikitika bado tunauhubiri huo uongo.

Hivi kuna hisia yoyote ya mtetemo tuupatao kiasi cha kuhisi dunia inajizungusha kiasi chakuona Jua linatembea ilhali liko pale pale.?

Vipi tukiwa kwenye gari au chombo chochote cha usafiri katika mwendo kiasi chakuona miti inarudi nyuma, je huwa hatuhisi mtetemo wakutujulisha tupo katika Mwendo?

SASA KWANINI TUUTUMIE HUU MFANO KUTHIBITISHA DUNIA INAJIZUNGUSHA MPAKA TUNAONA JUA LINATEMBEA ILHALI HATUHISI MTETEMO WA AINA YOYOTE KATIKA SAFARI YA DUNIA KUJIZUNGUSHA NA KULIZUNGUKA JUA.

Kipi kingine unachokiona kipo hivi ila sivyo kulivyo kupitia macho yako? Iweje ni jua tuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata hii elimu ya Dunia Duara hakuna akiyethibitisha zaidi yakuadithiwa kuna watu walithibitisha maana hata wewe hauna uthibitisha wa lolote juu ya umbo la dunia maana utafiti wake ni mgumu kwa maelezo ya kisayansi.

Utapima na nini ili ujiridhishe dunia inashape za duara zaidi ya picha, video nakuambiwa na wanaosema wamethibitisha.

Kwahiyo mtendee haki mleta uzi kile unachotaka akuthibitishie na wewe mthibitishie ushahidi ulio nao.

Kasema anaamini Jua linatemvea kwa sababu analiona,
Na wewe msibitishie dunia inajizungusha kwasababu utakazozitoa ambazo hata mtu baki anaweza kuzithibitisha sababu zenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa hizo theory bana acha kuzunguka hapa,kama kuta za barafu huzioni basi hilo ni tatizo lingine,umeenda ukakuta hazipo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama flat-earthers wameshindwa kutetea nadharia yao wenyewe kwa kututhibitishia hilo, unataka mimi niende huko nikafanye nini?

Flat-earthers watuletee ushahidi wao, sio mimi ndiyo nikawatafutie huo ushahidi!

Wakatuletee ushahidi, hakuna namna nyingine!
 
Uthibitisho wa "ukuta unaozunguka dunia" kama wasemavyo flat-earthers.

Uthibitisho wa vitu kupotea na kutokea upande mwingine wa dunia kama wasemavyo flat-earthers.

Uthibitisho wa dunia ku accelerate kuelekea "juu" kama wasemavyo flat-earthers.

Uthibitisho wa conspiracy theories; watu kukatazwa kwenda katika "edge" ya dunia, watu kuzuiwa ama kulipwa na kupewa rushwa ili kutokusema "ukweli".

Uthibitisho kwamba serikali zinadanganya, kampuni, taasisi mbalimbali, zinaficha ukweli. Uthibitisho wa "ukweli" ni upi na uthibitisho wa "uongo" ni upi?

Thibitisha!
 
Flat-earth ni imani, tena imani katika conspiracy theories!

Flat-earth ni imani katika vitu visivyoweza kuthibitika kuhusu mambo yanayoweza kuthibitika pasipo na shaka.

Flat-earth ni imani katika illusions!

Prove me wrong! Weka ushahidi wa "ukuta kuizunguka dunia" kulingana na madai ya flat-earthers.

Hilo ni jambo linaloweza kuthibitika kabisa pasipo na shaka kama kweli lipo sababu linahusu mahali hapa hapa tulipo (duniani) na si mahali pengine na isitoshe mazingira yanaruhusu kulithibitisha.

Tunajadili kuhusu kitu kinachoweza kabisa kupatiwa uthibitisho, kitu kilichopo ndani ya uwezo wetu kukithibitisha, kama kweli kipo!

Thibitisha kama ni kweli huo "ukuta" upo na si uzushi tu!
 
Jua linatembea? Thibitisha!

Mlidanganywa kwa maslahi ya nani? Ili iweje? bla bla nyingi!

Ukweli unafichwa kwa mantiki ipi? Kwa sababu gani ukweli ufichwe ilhali kuna kila mazingira ya ku prove huo "ukweli" lakini huo "ukweli" umeshindikana kuthibitika?

Mantiki ni ipi? Yaani serikali inayokudanganya kuhusu umbo la dunia ndiyo hiyo hiyo inaruhusu teknolojia za kui-prove wrong ziendelee kuwepo?

Serikali zinaficha "ukweli" na wakati huo huo zinaruhusu meli za kusafiri maeneo yote ya dunia, zinaruhusu ndege kuwepo na watu kusafiri kwenda popote, mifumo ya picha, video n.k. ya kukusanya ushahidi iwepo, zinaruhusu watu kufanya tafiti?

Serikali inayokudanganya kuhusu umbo la dunia ndiyo hiyo hiyo inayoruhusu vitabu vya dini viendelee kuwepo na kuruhusu watu kuabudu?

Tafakari!
 
Umbo la dunia kama sphere limekwisha kuelezeka, umekwisha fundishwa. Je, ulitega vipindi darasani?

Kila kitu kinachoihusu dunia (muda na wakati, misimu, kupatwa kwa mwezi n.k.) kimeelezewa kikamilifu na kwa uthibitisho wa kutosha na umekwisha fundishwa. Unasema ni uongo, una uthibitisho? Thibitisha!

Umbo la dunia flat, haliwezi kuvielezea hivyo vitu vyote vinavyoihusu dunia kwa usahihi katika muundo uleule kama vilivyoweza kuelezeka katika umbo la sphere bila kuleta mkanganyiko.

Kwa kifupi, umbo la dunia flat ni inconsistent! Halijielezi kikamilifu, haliwezi kujitetea! Thibitisha kinyume na hapo!
 
Hizo videos mbona hazionyeshi dunia ikizunguka kwa speed hiyo wanayosema??
Ukitoka nje ya dunia kwa hiyo speed inayotembea its means kamwe huwezi kutua tena!
Na msiniambie eti mtaweza kutua kwa story zile zile.za kwamba eti sababu tulio duniani hatuihisi sababu ya ukubwa basi na kutua nako kiwe hvy hvy hauwezi kuipata hiyo speed na ukatua powa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gravity inazuia mwezi usidondoke
Gravity inazuia dunia lisidondoke
Gravity inazuia maji yasimwagike kwa hii dunia duara
Gravity inatuzuia sisi tusipate kutoka kwa dunia hii imetushukilizia hapa tusibanduke
But GRAVITY HIYO HIYO INATURUHUSU TUWEZE KUTEMBEA SISI PAMOJA NA WANYAMA.
Ingetakiwa iwe shida kwa sisi hata kunyanyua mguu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
sio umekwisha fundishwa sema umekwisha danganywa.kama unaamini astronomy ya darasani huwezi nielewa maisha.

Nimekuambia uende antarctic utaona kuta za barafu unabisha hazipo ukipewa picha unagoma kwanini usiende utuprove kwamba hazipo .

Halafu kingine kama hujui maana ya flat earther bora ukae tu kimya ,nani kakuambia ni imani ,siku ukijakujitambua utakuwa umechelewa sana.

FES ni flat earth society ambayo sisi flat earthers tunaijua kazi yake ni nini na hilo sio shirika linaotusemea chochote,FES ndio wanaseme dunia ina accelerate ,FES sio flat earthers ni branch ya system yao kutuprove inlogic,tafuta flat earther anaye amini FES.

kama unatumia akili za darasani hata kama kuna jua kali itabidi nikumulikie tochi hata 10 upate mwanga zaidi maana unaona giza.

PROVE DUNIA INAZUNGUKA na niambie kwanini astronauts hawazungushi camera 360° wakiwa angani,na kwanini wapo nje ya dunia na kwa masaa zaidi ya matatu wanarekodi video na dunia ipo palepale na haizunguki?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gravity mkuu ni sahau maana hai exist,halafu hawa wanadhani sisi hatujasoma science sijui,namavitabu ya cosmos humu ndani yanamavumbi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani nzi akiwa ndani ya ndege akaruka kutoka seat moja kwenda nyingine atashindwa kutua?

Hit direct to the Ntonku
 
Gravity ni tofauti na sumaku mkuu

Hit direct to the Ntonku
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…