Macho yote ni sawa ndo maana wote tunaona jua linatembea angani ila kwa kuwa unajitoa ufahamu unasema sisi ndo tunalizunguka angali unaona tupo still huo ndo utumwa wa fikra tunaozungumzia.Una macho makubwa kiasi gani?
Shape ya dunia na ukubwa wake unaendana na ukubwa wa macho yako?
Macho yako yana utofauti gani na ya watu wengine?
Ushahidi wa macho yako uko sahihi kwa misingi gani tofauti na ushahidi wa macho ya wengine?
Hawa Watu wanahitaji kuwaweka karantini kama wagonjwa wa Corona virus
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani hivi vitu hawataki kabisa vionekane,jiulize ni kwanini sio kupokea tu
Itafute mkuu,ni nzuri sana.
Dome au firmanent ipo vipi kwa style ya movie ila mwenye akili ujumbe anaupata kisaikolojia ni kusema ukweli kuhusu mazingira yetu kiuhalisia kwa njia ya fiction.
Kuna majibu na pia kuna madai! Tafuta ufahamu wa kuweza kutofautisha hivyo vitu viwili.
Reality ipi?Flat earther needs a reality but globalist uses theories such as big bang and evolution indeed they arent facts.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kuthibitisha kuwa jua linatembea angani?Macho yote ni sawa ndo maana wote tunaona jua linatembea angani ila kwa kuwa unajitoa ufahamu unasema sisi ndo tunalizunguka angali unaona tupo still huo ndo utumwa wa fikra tunaozungumzia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hujaona sawaKuna majibu na pia kuna madai! Tafuta ufahamu wa kuweza kutofautisha hivyo vitu viwili.
Isitoshe, kuna majibu na pia kuna majibu yenye kuleta suluhisho ama ufumbuzi wa mambo yenye kutatiza.
Uzi umeleta madai ya flat-earthers huku kukiwa na upungufu mkubwa wa majibu ama uthibitisho wa madai hayo.
Reality ipi?
Gobalists uses theories!!! Big bang, evolution??? Unahama huku na kule, unachanganya mambo!
Dunia imezungukwa na ukuta wa barafu, facts ziko wapi? Ushahidi wa madai hayo uko wapi?
Dunia ina accelerate kwenda "juu", facts ziko wapi? Ushahidi wa madai hayo uko wapi?
Dunia inaruhusu vitu ku teleport na kutokea upande mwingine, facts ziko wapi? Ushahidi wa madai hayo uko wapi?
Watu wanapewa rushwa ili wasiseme kuwa "dunia ni flat", facts ziko wapi? Ushahidi wa madai hayo uko wapi?
Hayo ni matumizi yasiyo sahihi ya neno "Reality".
Unaweza kuthibitisha kuwa jua linatembea angani?
Kuliona jua linahama kutoka mahali pamoja kwenda pengine ni uthibitisho kuwa linatembea?
Ama Je, kuona miti ikiwa inarudi nyuma ukiwa katika mwendo ndani ya gari kunathibitisha kuwa miti inatembea?
Nadharia unazotumia ambazo pia walishazitumia wenzako ni inconsistent na zimekwisha shindwa kuthibitisha hicho unachokisema.
Asante!
Hii sasa ndo inaonesha kuwa kweli we ni mtumwa wa fikra,wapi tumesema NASA wameweka ulinzi ,kama hujui kusoma bora uache.Flat-earthers ni wasambaza uzushi bila ushahidi wa kile wanachokisema na wanalijua hilo. Ni watu wa maneno na porojo nyingi ambazo kwao wanaziita "facts".
Ni wazuri sana katika kutunga picha picha zenye maudhui ya mizaha mtandaoni almaarufu kama 'memes' na mara nyingi hupenda kuambatanisha hoja zao na hizo 'memes' pamoja na picha na video za kuunganisha matukio.
Wanadai kuwa dunia imezungukwa na ukuta wa barafu. Ukiomba uthibitisho juu ya madai hayo, hakuna!
Kwa kulazimisha, watakushawishi na picha zisizoendana hata na kile wanachodai.
Wengine ukiwauliza sababu ya kutokwenda kutuletea uthibitisho wenu kuhusu ukuta na edge ya dunia, wanakuambia NASA wameweka ulinzi kule ili kuzuia watu wasiende. Ukiomba ushahidi wa madai hayo, utasubiri sana!
Kampuni za usafirishaji, Marubani, Manahodha wa meli, Kampuni za habari na mawasiliano n.k. hao wote kwao flat-earthers ni wapumbavu waliozuiwa na wengine kupewa rushwa ili wasitoe siri kuwa 'dunia ni flat' kwa "maslahi" ya serikali za dunia.
Ukiomba uthibitisho, zero! Utaishia kuambiwa "usiwe mtumwa wa fikra".
Ni theory gani nyingine unayotafuta?Kuna reality ipi ingine?
Onesha theory hata moja ya flat earth
Dunia hai accelerate ipo still
Sio wanapewa rushwa wanapewa maslahi mapana kuweka mambo yawe kinyume kwa ustadi.
Kuhusu media streams ni mind control
Kuta za barafu zipo unaweza ukaenda ukajiona ukitaka
HALAFU SAHAU KABISA KUHUSU GALAXIES ,YOU ARE WASTING YOUR TIME.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kutumia tafsiri ya kuiacha miti nyuma, ni sawa pia kuliacha jua nyuma sawasawa na miti unavyoiacha nyuma. Umeelewa hilo? Waweza kuthibitisha kinyume na hapo.Ndio linatembea angani ni lugha rahisi kumwelezea mtu jinsi linavyohama
Miti hairudi nyuma wewe ndo unaiacha nyuma.
Mbona hao NASA hawatoi hizo footage na documents civilians tuzi analyze?
Sent using Jamii Forums mobile app