The World is a flat plane and not a globe

Binadamu tukijua dunia ni tambarare italeta athari gani?
Wanaotudanganya dunia ni tufe wanapata faida gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lengo la kutudanganya ni nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unamshukuru Mungu yupi?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hadithi maarufu ya vipofu na Tembo.
Kipofu mmoja aliyegusa sehemu za tumbo la tembo yule alielezea furaha yake na kusema jamani, “tembo kweli mkubwa, ni kama kichuguu pale alipolala”. Kwake kipofu huyu tembo alikuwa mkubwa kweli kama kichuguu.
Kipofu wa pili aligusa miguu ya tembo, akaipapasa na kuinyanyua. Huyu naye maelezo yake juu ya tembo alisema, “He he he, kumbe tembo mwenyewe ni kama kinu cha kutwangia”. Kipofu wa tatu yeye alifikia kupapasa sikio na kwa mshangao mkubwa akasema, “Masikini, hivi tembo tunayemsikia kumbe ni kama ungo wa kupepetea tu!” Vipofu wale wote hakuna aliyemwona tembo, bali kila mmoja alifanikiwa kumtambua kwa kupapasa au kushika sehemu fulani ya tembo na sehemu ile kwake kipofu yule ikawa ni picha na tafsiri yake ya tembo!
Dunia ni duara, ila kulingana ukubwa wake na upeo wa macho yetu tuaona ni tambarare.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…