Dreadnought
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 2,922
- 4,022
Hiyo disc umeiona wapi mkuu useme evidence starts with eyes [emoji849][emoji849][emoji849]Mimi ni binadamu mwenye msimamo wa flat disk maana ushahidi ni macho yangu sio hesabu za kuunda za kina copernicus na wenzake waliojaa theory tu,evidence starts with EYES.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tayari unasema gravity haipo hata ukieleweshwa huwezi kubali.Maji always yapo baharini.bila maji hakuna bahari ,na maji hutengeneza level.
We niambie maji yanakaaje kwenye mpira?
Sent using Jamii Forums mobile app
Illustrations zako hazieleweki hasa hapo kwenye solar eclipse seems like jua kuna muda linaenda juu halafu linashuka wakati kwenye ile picha nyingine linazunguka kama mshale wa saa kipi ni kipi?Dunia imeshikiliwa na maji
Jua linazunguka dunia
Kuhusu lunar ni interaction ya jua na mwezi kutengeneza kivuli kulingana na phase za mzunguko.View attachment 1369571
Sent using Jamii Forums mobile app
And how do you explain behaviours of different elements at atomic level?..may be you have to justify how it's a joke,, the application of quantum physics is endless as it govern human to understand how the element and universe behaves at atomic level i.e subatomic particles, and from there we have different applications such as understanding of Xrays, gamma, radio and many many others applications, even all materials and technology used to create your device originates there...
Niambie hiyo drone inayopiga hizo picha niigoogle nione ikoje (specifications zake) Ukifuatilia huko juu nimeonesha drone ambayo ilivunja rekodi kupiga picha ya juuu zaidi ambayo hakuzidi 11000 feet, above the Earth's surface.
Leta ushaidi wa hiyo drone au drones zinazopiga picha za google maps
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani flat Earth mna shida sana drone, baloon sasa hivi ndege. Hivi unajua picha zimepigwa toka umbali gani juu?Picha za google zinapigwa kwa ndege na kuunganishwa vipande vipande bila kuacha sehemu yoyote. Si kwamba huwa inapigwa kwa mara moja tu kutoka juu.
Sent using Jamii Forums mobile app
no man who land on the moonWanavyonichezea akili wanafaidika nini? Ili iweje?
Mkuu kama umesoma historia baada ya vita ya pili ya dunia kulikuwa na cold war kati ya Marekani na umoja wa kisovieti (1945-1991) moja wapo ya mambo yaliyovuma ilikuwa space race.
Walianza urusi na Yuri Gagarin aliyefanikiwa kuzunguka dunia kupitia orbit mbona Marekan hawakupinga ? Badala yake wakafinikiwa kupeleka binaadam wa kwanza mwezini Neil Armstrong na urusi hawakupinga ilihali walikuwa na vita ushindani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa zinapigwa na Sattelite. Swali ni kwanini hatupati current image?.Yaani flat Earth mna shida sana drone, baloon sasa hivi ndege. Hivi unajua picha zimepigwa toka umbali gani juu?
Tuanzia hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
m mwenyewe kila nikiangalia naletewa picha za 2018Sawa zinapigwa na Sattelite. Swali ni kwanini hatupati current image?.
Yaani ukiiangalia goige map ikupe taswira halisi na iliyopo sasa.
Kama Dish tunaona live kutoka ktika hizo sattelite kwanini google map hatuipati live?
Sent using Jamii Forums mobile app
Prove it then, and tell me why the Russians by then hawakupinga.no man who land on the moon
HOAX[emoji437][emoji437][emoji437][emoji437]
Kupiga hizo picha ni expensive ndo maana hakuna current images lakini huwa wanaziupdate mara kwa mara jaribu kufuatiliaSawa zinapigwa na Sattelite. Swali ni kwanini hatupati current image?.
Yaani ukiiangalia goige map ikupe taswira halisi na iliyopo sasa.
Kama Dish tunaona live kutoka ktika hizo sattelite kwanini google map hatuipati live?
Sent using Jamii Forums mobile app
OkView attachment 1371309Niambie hiyo drone inayopiga hizo picha niigoogle nione ikoje (specifications zake) Ukifuatilia huko juu nimeonesha drone ambayo ilivunja rekodi kupiga picha ya juuu zaidi ambayo hakuzidi 11000 feet, above the Earth's surface.
Leta ushaidi wa hiyo drone au drones zinazopiga picha za google maps
Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhan kwa sababu highest attitude ya drone haifiki huko juu sana nimwekea hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo drone ulizoweka hapo ni za jeshi, na hiyo ya pili umeedit ilo neno google.
Kama hiviView attachment 1371333Ni kuwa inaanza CGI kwanza HALAFU WANAUNGA VIPANDE VYA DRONE IMAGES,ndo maana ukifungua google earth ukizoom inatokea kama blur flani halafu inakuwa clear ukizoom tena hivyo hivyo hapo ndipo unapochezewa akili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuonesha sample za jinsi zilivyo editing ni wao wenyewe,ila ziko mfumo huo.Hizo drone ulizoweka hapo ni za jeshi, na hiyo ya pili umeedit ilo neno google
Sent using Jamii Forums mobile app