The World is a flat plane and not a globe

The World is a flat plane and not a globe

Ok
Kumbe jua liko juu mwezi chini, na vipi kuhusu kupatwa kwa mwezi, kunatokeaje?

Na jua na mwezi kutokana na nadharia yako nini kinavifanya vizunguke?

Na je hiyo flat disc imeshikiliwa na nini au imenasa wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
1499933c3cd5816aa680bd0ee5e0c616.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua kwanini tupo duniani?
unajua asili yetu?
ukijibu haya mawili ntakujibu kwanini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo mambo ya kwa nini niko duniani na asili kuna nadharia kadhaa najua na wewe una ya kwako unayoiamin sina haja ya kukwambia nadharia ninayoifahamu mimi kuhusi asili yangu.

Bado hujajibu hao wazungu wanavyodanganya kama unavyosema wanafaidika nini?

Wafanya tafiti kila kukicha kukuza technology wewe bado una nadharia za kale ambazo zishakuwa rebuked.

Hicho kifaa unachotumia ni hao hao wamekuletea nacho bas ukatae kwamba sio real, kama unavyokataa satellite zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafiti signals zinasafiri umbali gani kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza tambua ya kwamba satellite signals zinakiwa transmitted kama radio waves these waves travel at 300,000 km/s (the speed of light). This means that a signal sent to a satellite 38,000 km away takes 0.13 s to reach the satellite and another 0.13 s for the return signal to be received back on Earth.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
REALITY Only one satellite is needed to transmit television signals to a whole country or other large region of the Earth. The signals sent from a satellite can be shaped to match any coverage footprint required.

For example, the Optus D1 satellite was launched in 2006 to provide television signals for the whole of Australia and New Zealand.

The Optus D1 satellite is about the size of a car and is in a geostationary orbit above the equator at an altitudeof 36,000 km and a longitude of 160°.Itafute Optus D1 satellite usome halafu useme yote wanatunga.

Huo ni mfano mmoja tu wa satellite



Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom