The World is a flat plane and not a globe

The World is a flat plane and not a globe

Illustrations zako hazieleweki hasa hapo kwenye solar eclipse seems like jua kuna muda linaenda juu halafu linashuka wakati kwenye ile picha nyingine linazunguka kama mshale wa saa kipi ni kipi?

Flat earthers mmeshindwa kuexplain solar eclipse na lunar eclipse mnajaribu kulazimisha tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ok
Screenshot_2020-02-28-11-34-20.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tayari unasema gravity haipo hata ukieleweshwa huwezi kubali.

Tafuta live feed kutoka ISS (International Space Station) au nayo haipo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Live feed inafanyika kwenye altitude ballon na ni video editings plus CGI na hizo picha zinazo stream live kuonesha dunia ni camera zenye lens ya FISH EYE yani unaona dunia ni curve na sio horizon.fanya utafiti taratibu na tumia ubongo wako sio wa mwingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Live feed inafanyika kwenye altitude ballon na ni video editings plus CGI na hizo picha zinazo stream live kuonesha dunia ni camera zenye lens ya FISH EYE yani unaona dunia ni curve na sio horizon.fanya utafiti taratibu na tumia ubongo wako sio wa mwingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wewe ni pseudo scientist, nipe ushahidi kwamba hiyo ni baloon na editing sio unasema tu mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa kasema ukifunga dish la azam canada utashika channel,kwa kifupi huwezi hata utumie hiyo sat finder yako inshort hakuna satellites na mnara wa azam tv unao transmit signal huko.
Mkuu Dstv iko sehemu nyingi africa utasema na huko wanaroam kwa app. Unapinga pasipo kuwa na hoja imara wala ushahidi zaidi ya maneno tu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Satellite ni jina la kukupumbaza tu mkuu ila hawamaanishi wanachokionesha maana hakipo.
Simu kuwa na vifurushi na dish kuwa na vifurushi ndo ushaidi kuwa dish zinatumia minara seriously???

Transmissions za simu ni minara hiyo inajulikana lakin bado kuna simu za satellite ambazo hazitumii hiyo minara.

Sijui utasema zinatumia nini au nazo hazipo?????

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwezi ni taa mkuu hakuna mtu amewahi fika pale ,tafuta camera ya nikon p1000 zoom mwezi uangalie halafu angalia na picha za nasa.
Wanavyonichezea akili wanafaidika nini? Ili iweje?

Mkuu kama umesoma historia baada ya vita ya pili ya dunia kulikuwa na cold war kati ya Marekani na umoja wa kisovieti (1945-1991) moja wapo ya mambo yaliyovuma ilikuwa space race.

Walianza urusi na Yuri Gagarin aliyefanikiwa kuzunguka dunia kupitia orbit mbona Marekan hawakupinga ? Badala yake wakafinikiwa kupeleka binaadam wa kwanza mwezini Neil Armstrong na urusi hawakupinga ilihali walikuwa na vita ushindani?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom