The World is a flat plane and not a globe

The World is a flat plane and not a globe

Toka shule hivi nilikuwa nabisha sana eti dunia tufe halafu unaishi nje ya dunia,halafu inazunguuka akili bado inagoma kabisa
 
Dunia imeshikiliwa na maji
Jua linazunguka dunia
Kuhusu lunar ni interaction ya jua na mwezi kutengeneza kivuli kulingana na phase za mzunguko.View attachment 1369571

Sent using Jamii Forums mobile app
Illustrations zako hazieleweki hasa hapo kwenye solar eclipse seems like jua kuna muda linaenda juu halafu linashuka wakati kwenye ile picha nyingine linazunguka kama mshale wa saa kipi ni kipi?

Flat earthers mmeshindwa kuexplain solar eclipse na lunar eclipse mnajaribu kulazimisha tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee elimu yote ya quantum physics ni michezo ya kuigiza

Sent using Jamii Forums mobile app
And how do you explain behaviours of different elements at atomic level?..may be you have to justify how it's a joke,, the application of quantum physics is endless as it govern human to understand how the element and universe behaves at atomic level i.e subatomic particles, and from there we have different applications such as understanding of Xrays, gamma, radio and many many others applications, even all materials and technology used to create your device originates there...
There is a lot to explained, ila kasome kidogo quantum physics as its a broad spectrum of studies..
Regards
 
Picha za google zinapigwa kwa ndege na kuunganishwa vipande vipande bila kuacha sehemu yoyote. Si kwamba huwa inapigwa kwa mara moja tu kutoka juu.
Niambie hiyo drone inayopiga hizo picha niigoogle nione ikoje (specifications zake) Ukifuatilia huko juu nimeonesha drone ambayo ilivunja rekodi kupiga picha ya juuu zaidi ambayo hakuzidi 11000 feet, above the Earth's surface.

Leta ushaidi wa hiyo drone au drones zinazopiga picha za google maps

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Picha za google zinapigwa kwa ndege na kuunganishwa vipande vipande bila kuacha sehemu yoyote. Si kwamba huwa inapigwa kwa mara moja tu kutoka juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani flat Earth mna shida sana drone, baloon sasa hivi ndege. Hivi unajua picha zimepigwa toka umbali gani juu?

Tuanzia hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
REALITY dish hizo hapo uelekeo tofauti halafu unasema zina uelekeo mmoja.

Ulivyokuwa unasema dish zina uelekeo mmoja ulimaanisha nini? Ulitafiti kweli au uoiongea tu kutetea hoja zako
4454_satellitedishesonbuilding3x2_905477.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanavyonichezea akili wanafaidika nini? Ili iweje?

Mkuu kama umesoma historia baada ya vita ya pili ya dunia kulikuwa na cold war kati ya Marekani na umoja wa kisovieti (1945-1991) moja wapo ya mambo yaliyovuma ilikuwa space race.

Walianza urusi na Yuri Gagarin aliyefanikiwa kuzunguka dunia kupitia orbit mbona Marekan hawakupinga ? Badala yake wakafinikiwa kupeleka binaadam wa kwanza mwezini Neil Armstrong na urusi hawakupinga ilihali walikuwa na vita ushindani?

Sent using Jamii Forums mobile app
no man who land on the moon

HOAX🔭🔭🔭🔭
 
Yaani flat Earth mna shida sana drone, baloon sasa hivi ndege. Hivi unajua picha zimepigwa toka umbali gani juu?

Tuanzia hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa zinapigwa na Sattelite. Swali ni kwanini hatupati current image?.

Yaani ukiiangalia goige map ikupe taswira halisi na iliyopo sasa.

Kama Dish tunaona live kutoka ktika hizo sattelite kwanini google map hatuipati live?

m mwenyewe kila nikiangalia naletewa picha za 2018
 
Sawa zinapigwa na Sattelite. Swali ni kwanini hatupati current image?.

Yaani ukiiangalia goige map ikupe taswira halisi na iliyopo sasa.

Kama Dish tunaona live kutoka ktika hizo sattelite kwanini google map hatuipati live?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kupiga hizo picha ni expensive ndo maana hakuna current images lakini huwa wanaziupdate mara kwa mara jaribu kufuatilia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kujua Kiingereza sio kua na Akili
Dunia flat tangu lini evidence hewa hizo ndo unataka kutuaminisha. Nenda kasome tena uje ujikosoe mwenyewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom