Wewe ndo hutaki kuielewa Biblia unaisoma kama gazeti tu! Mfano Wewe hapo ukisoma Isaya 23:17 kwa akili zako hizo utakuja kusema hapa Mungu huwa anafanya UKAHABA!
Sijawahi kusoma ishu ya uongo iliopostiwa kama hii, Hakika wewe ni mpotoshaji wa kiwango cha juu sana .
Acha upuuzi bwana mdogo.Maji always yapo baharini.bila maji hakuna bahari ,na maji hutengeneza level.
We niambie maji yanakaaje kwenye mpira?
Sent using Jamii Forums mobile app
Satellite zote za juu ni nadharia kwani?...mi naona satellites za mawasiliano zipo sahihi.......na Kwa faida ya Nani hadi wafiche kuhusu dunia tambarale .........dunia duara bwanaSasa wakuu nyie mmesoma hizo nadharia, full of conspirancy bila kufanya uchunguzi wenu binafsi😃😃.Kina Armstrong wameenda nje ya dunia wameipiga picha, sattelite zinaenda juu zinapiga picha kitu kinatoka cha duara, nyie mnataka kutufundisha nini sasa?😃😃😃.
Watu wa meditation wamegonga meditation zao wanaona ni ya mfano wa mviringo pia, kina Gallilei Gallileo mpaka wakahukumiwa kifo kwa sababu ya kusema ukweli ngoma ni ya mfano wa duara! Sasa wafiche tukijua kuwa iko kama meza watapoteza nini?
Kwa faida ya Nani hadi tukafundishwa umbo la dunia mashuleni.Satellite zote za juu ni nadharia kwani?...mi naona satellites za mawasiliano zipo sahihi.......na Kwa faida ya Nani hadi wafiche kuhusu dunia tambarale .........dunia duara bwana
Sidhan kwa sababu highest attitude ya drone haifiki huko juu sana nimwekea hapo
Unataka evidence gani wakati zilitua zamani teknolojia haijakua.Do you believe this?why hizo comets zitue kwenye crater tu kuna evidence zozote ama video zinaonesha zinavyotua hizo sehemu?kama hazipo how do we prove its a comet?na comet zimejulikana angani au hapo zilipotua?kama angani wamewezaje kuoanisha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kijijini kwetu ni bondeni mbali sana hata mitandao ya simu hakuna lakin dish zinapata signals sasa hiyo minara iko wapi?Sio mnara mmoja ni minara mingi katika maeneo yenye kuhitaji mawasiliano.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanavyonichezea akili wanafaidika nini? Ili iweje?Maswali yako bana,hizo drone zimewekwa na wanaokuchezea akili yana scientists.
Sent using Jamii Forums mobile app
Niambie hiyo drone inayopiga hizo picha niigoogle nione ikoje (specifications zake) Ukifuatilia huko juu nimeonesha drone ambayo ilivunja rekodi kupiga picha ya juuu zaidi ambayo hakuzidi 11000 feet, above the Earth's surface.
Acha kucheka njoo na ushahidi wa eneo ambalo satellite dish haishiki
Simu kuwa na vifurushi na dish kuwa na vifurushi ndo ushaidi kuwa dish zinatumia minara seriously???Inakuwaje mtandao wa simu unakupa kifurushi cha kuangalia startimes na dstv na simu hiyo unayotumia unajua transmission za signals zinatoka wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Dishes zinatumia satellites tofauti sio moja ndo maana ukigeuza hupati signals na ndo maana dish hazina uelekeo mmoja
Waliogundua satellite ndo wamesema hivyo wewe kwa kuwa unapinga bila hoja na ushahidi wa msingi unakataa.Tatizo lako neno satellite unafikiri ni chombo kinachoelea angani chenye kupitisha mawasiliano ila in reality sio kweli ni mchezo tu unaochezwa na unawaamini kwahiyo ni ngumu kuelewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Dstv iko sehemu nyingi africa utasema na huko wanaroam kwa app. Unapinga pasipo kuwa na hoja imara wala ushahidi zaidi ya maneno tuLabda uroam kwa app sio lisetiwe never gonna happen,labda internet sio satellite maana hazipo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ni uongo mkuu, dish hazina ueleko mmoja. Kama hivyo vifaa vinafuta minara kwa nini viitwe sat finder na sio tower finder? Au bado wazungu wananichezea akili? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni minara mkuu ndo maana madish ya sehemu nyingi huelekea sehemu moja wapate interfearance na mnara.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alivyosema baloons nimetafiti kuhusu baloon sijaandika tu, hakuna baloon inayokwenda juu kiasi hicho same applies to drones