Ha ha ha,true Ila madada wengi hawajiachii vizuri kwenye mechiConsider her age,these things go with experience unless angekua wa uswazi afu kiuno kigumu hapo chacha,wa kishua huyo ndio kina Ronny wamfundishe....
real?....Kuna wengine hawajali.....mie nakumbuka naanza tu intern baada ya kumaliza chuo.......nilipoingia ofisini hiyo kazi ilikuwa ya kusafiri........baba mmoja akaniita akaniambia jitahidi unaposafiri usije ukajisahau ukalala na dereva ama mtu unayesafiri nae ukirudi hapa utajikuta kwenye notice board kila mtu atakujua......
Na nilifwata ushauri wake nilivyorudi nikaambiwa eeh mtoto mgumu utadhani umewekewa dhahabu hiyo mbunye.......kuanzia hapo ndo nikajua ukijisahau ofisini utapata aibu ya milele.......
Mpaka leo wanaume wa ofisini big NO......
nshakutana nao ndugu yangu............ni akili kumkichwa tu.real?....
bado hujakutana na kina HOM weye....
Kabisa namuelewa pia,rahisi kumdondokea huyu kijana,lolDaah nahisi design kama namuelewa hivi Ronny
Wakiwazoea watajiachia...Ha ha ha,true Ila madada wengi hawajiachii vizuri kwenye mechi
Hahaah kwa kweli ni ka mtihani kidogo kuepuka kikombe cha Ronny, he is msweet. ..Kabisa namuelewa pia,rahisi kumdondokea huyu kijana,lol
Kabisa namuelewa pia,rahisi kumdondokea huyu kijana,lol
Ana u sweet gani mna ka sympathy tu na yeye kwasababu mnyonge wa ofisi.......Hahaah kwa kweli ni ka mtihani kidogo kuepuka kikombe cha Ronny, he is msweet. ..
Very sweet kwenye kubembeleza,imagine mwingine ukikutext afu umemlia buyu siku zote kwa kikosa kidogo ka hicho na ye anakulia buyu,sio hio tu ile aliomkatalia kavu nilijua Ronny atamnunia ndio kwanza kamwambia njoo ulale kifuani mwee.. Hata ningekua mimi would have second thoughts about him..Hahaah kwa kweli ni ka mtihani kidogo kuepuka kikombe cha Ronny, he is msweet. ..
Sisi ndio wanawake tumesema hivyo eboo,we utaelewaje usweet wa mwanaume mwenzio...ukiona hivyo wewe ni opposite from him if he is sweet what are you..?Ana u sweet gani mna ka sympathy tu na yeye kwasababu mnyonge wa ofisi.......
Wanawake tu ndo tunaomwelewa Ronny... he's so deliciousSisi ndio wanawake tumesema hivyo eboo,we utaelewaje usweet wa mwanaume mwenzio...ukiona hivyo wewe ni opposite from him if he is sweet what are you..?
bitter......Sisi ndio wanawake tumesema hivyo eboo,we utaelewaje usweet wa mwanaume mwenzio...ukiona hivyo wewe ni opposite from him if he is sweet what are you..?
Umeona eeh.. lol huyu anakua special for kudekea,especially ukiumwa huyu anafaa,tatizo anakaa chocho huko kwahio unamtafuta na bitter RRONDO unamweka for another purpose ambayo ni weakness ya Ronny Kuneutralize huo usweetWanawake tu ndo tunaomwelewa Ronny... he's so delicious
Sweetheart, you will never understand us "women". Ronny sio mnyonge ila ni definition ya "gentleman" + he has dignity, wapo wachacheeeee. Angetaka si angemla tu yule bi mkubwa boss na career yake ingebadilika instantly na angewala vizuri macho juu. Kwa Linda ndo kajichukulia points kibao. Afu usisahau basi, "simba mwenda pole........Ana u sweet gani mna ka sympathy tu na yeye kwasababu mnyonge wa ofisi.......
Lazima mbaniwe mana hakuna namnaYashakufika ama unatubania riziki tu?
Ngoja nasie tuanze kuwasemaNa wanaonaga raha kusema yule tayari na huyu tayari........
Eeeh kwanza mwingine angekuacha unafikiri na hivi umejipeleka mwenyewe machinjoni. Au hapo Linda alivyomkasirikia mwingine ndo angeshukuru na hivyo kashakukula, akubembelezee nini sasa?Very sweet kwenye kubembeleza,imagine mwingine ukikutext afu umemlia buyu siku zote kwa kikosa kidogo ka hicho na ye anakulia buyu,sio hio tu ile aliomkatalia kavu nilijua Ronny atamnunia ndio kwanza kamwambia njoo ulale kifuani mwee.. Hata ningekua mimi would have second thoughts about him..
Na wanaume nao hawatulii utafikiri zipu zimesagiwa pilipiliNa vibinti navyo havitulii utafikiri chupi zimesagiwa pilipili....
the only thing iunderstand its so so so easy to impress you....jidai mnyonge,mpole gentleman utakula mizigo mpaka uchoke! huyo Ronny mnyonge tu ngoja kacheo kapande kimshahara kiongezeke akopeshwe ki altezza ndio mtajua true colors!Sweetheart, you will never understand us "women". Ronny sio mnyonge ila ni definition ya "gentleman" + he has dignity, wapo wachacheeeee. Angetaka si angemla tu yule bi mkubwa boss na career yake ingebadilika instantly na angewala vizuri macho juu. Kwa Linda ndo kajichukulia points kibao. Afu usisahau basi, "simba mwenda pole........
We bana unatuchosha sasa... Usiwe una quote story nzima,Hii stori ni tamu mno