Marekani haijawahi kutenda haki duniani !
Marekani haijawahi kutenda haki duniani !
Hao jamaa walikuwa wakimuwinda Gadafi siku nyingi sana na sasa wamepata kisingizio...ila wakae wakijua wanatengeneza maelfu ya kina Osama na siku moja huko mbeleni 9/11 itawarudia tu. Nalaani vitendo vyote vya mabavu vinavyofanywa na westerns kwani havijengi ila vinaandaa anguko lao wenyewe siku moja.
Mungu waokoe Walibya na wote waonewao duniani,Amin.
Afghanistan: Nato air strike kills civilians in Helmand.Ebu tajeni ni nchi gani duniani inayotenda haki? Gaddafi ameingia kwenye crosshairs za wakubwa wacha wamshugurikie.
https://www.jamiiforums.com/jamii-i...ama-un-lachakachua-sheria-kuivamia-libya.htmlAliyeanzisha mashambulizi ni Ufaransa, nashangaa wanawalaani wamarekani tu!
As of yesterday Turkey wamekubali kushiriki kwenye kuenforce no fly zone in Libya.1.Jamani no-fly zone sio uamuzi wa USA bali ni wa umoja wa mataifa (UN). Kwa hiyo watu mnaoilaumu US nadhani hamjalifuatilia nakuliewa vizuri hili suala.
2. Mbona wanaolaumiwa ni wamarekani peke yako katika hili wakati wapo wengi tu wanaotekeleza hili ikiwemo UK, France, Qatar, Jordan (UAE), NATO(except Turkey) etc. vilevile nchi nyingi duniani zinasupport hili suala wakiwemo viongozi wa Africa kama Rwanda na Botswana(kama sikosei)
3. Tanzania na nchi nyingi tu duniani ni wanachama wa UN, lakini nchi ambazo nimebahatika kusikia kuwa zinapinga wazi no-fly zone ni Russia, China na Uganda. Sijui kuhusu nchi yetu Tanzania (unaweza ukakuta ni moja wapo ya wanaounga mkono)
4. Watu wamekuwa wepesi kujibu kuwa marekani imefuata mafuta libya. Je vipi kuhusu UN, UAE(Qatar Jordan), NATO, UK, France na mataifa mengine yanayoshiriki yanatafuta nini huko..?(usitoe jibu jepesi kuwa hawa wote ni vibaraka wa marekani coz kama ndio hivyo basi ni dunia nzima)
5. Hivi ni kweli uchumi wa USA unategemea sana mafuta kiasi hiki (wataalamu wa uchumi wa dunia tusaidieni katika hili)? Je ni kweli kuwa USA huwa inaiba au kuchimba mafuta kule Iraq na Afghanistan au ni uzushi tu huu?(wikileaks mko wapi?)
Tupeana facts waheshimiwa, stick to the topic, its hard bt try not to be biased an Feel at home.
pumba hujui lolote kama unajua basi umeamua kufumbia macho! Hadi leo hujui kuwa usa walieuata mafuta iraq? hivi na wewe unaitwa great thinker eti? Kawambie wakuoneshe silaha za maangamizi walizosingizia kuwa sadam hussein anazo.
Kabla ya no fly zone usa ilikuwa nchi ya kwanza kusogeza manoari za kivita karibu na libya. Then un haikuwaagiza wakaimpliment no fly zone walijipeleka wenyewe. Then kwa nini wasiende ivory coast kumtoa gbagbo km wanauchungu na raia?
Some us marine are on the ground in libya helping rebel to retake oil rich town of adabiya.26th marine Expeditionary unit