The way how I know Mr. Zitto Kabwe

ni mtazamo wako kwa akili yako ilipofikia, ni sawa na mimi ninavyoamini kitimoto ni bora kuliko kuku, si lazima na wewe huamini!
sembuli, watu wanaweza dhati mfano wako ni kebehi ila ukweli ndio huo. Kila mtu anaweza kuona kitu fulani ni bora/kitamu lakini muhimu ni kuangalia wangapi ndio wanaona hivyo?
 
Tatizo bado watanzania wengi tuna zile siasa za unazi. Watanzania inatakiwa tubadilike tuanze siasa komavu za kuwapima watu kwa matendo yao ya dhahiri. Sio kama watu wanavyokuwa na chuki tu, ukiwauliza labda tatizo hasa liko wapi, hupewi hoja na majibu ya kuridhisha. Sana sana utaambiwa tu, ooh!!! eti mnafiki. Unafiki kwenye siasa?

Mi ningependa hata kwenye katiba iwekwe sheria ya mtu kuwa anatangaza nia ya kugombea uraisi miaka miwili au mitatu kabla, ili watanzania tuwe tunapata muda wa kuwachunguza. Haya mambo ya kufanyiana suprise utadhani wachumba kwenye urais wa nchi kwa kweli hayafai.

Mtu ajitokeze mapema, watanzania tuanze kumfuatilia nyendo zake ikiwemo uadilifu wake.
 
Mbowe na Zitto mbona hawafanani kabisa Zitto ni mwanasiasa anayependa zaidi Policy lakini Mbowe ni kiongozi wa Chama na anahakikisha mambo yote yanaenda vizuri. Kuna wanasiasa wengi wazuri ambao hawawezi kuongoza chama. Ujuzi wa biashara unamsaidia Mbowe na kipaji cha akili kinamsaidia Zitto hivyo kila mtu kapewa na mungu kitu tofauti lakini wanategemeana kufanikiwa. Mimi ndiyo maana nilisema Mbowe ni kiongozi mzuri wa Chama kwasababu anajua kuendesha biashara vizuri nafikiri imemsaidia sana. Zitto anafanana zaidi na Slaa kuliko mbowe
 
Katika kipindi cha miaka 10 mfululizo nimekuwa nikiwafuatilia kwa karibu sana hawa wanasiasa wawili. Kwa kipindi chote hicho Mbowe hajawahi kumfunika kijana kwa mambo yafuatayo:

1. Uwezo wa kujenga hoja zenye akili
2. Uwezo wa kufafanua mambo ya kisiasa ya nchi bila kutumia matusi
3. Haiba ya kisiasa na uwezo mkubwa wa kufikisha ujumbe kwa wananchi
4. Anaweza kuvuta umma peke yake bila kubebwa na Dr. Slaa

Zitto has bright future compared to Mzee Mbowe.

There are so many people of your like who don't know what is good for you even if
it hits you directly on your face. Keep on dreaming, but remember day dreams will never come true!
 
KULOGWA KULOGWA KULOGWA KWA WATANZANIA!!!....Pamoja na kansa ya uongozi wa CCM watu wataendelea kukichagua,ALAFU BAADA YA MUDA wataanza kulia mbona uchumi unayumba? mbona maisha magumu etc!!!
 
Katika kipindi cha miaka 10 mfululizo nimekuwa nikiwafuatilia kwa karibu sana hawa wanasiasa wawili. Kwa kipindi chote hicho Mbowe hajawahi kumfunika kijana kwa mambo yafuatayo:

1. Uwezo wa kujenga hoja zenye akili
2. Uwezo wa kufafanua mambo ya kisiasa ya nchi bila kutumia matusi
3. Haiba ya kisiasa na uwezo mkubwa wa kufikisha ujumbe kwa wananchi
4. Anaweza kuvuta umma peke yake bila kubebwa na Dr. Slaa

Zitto has bright future compared to Mzee Mbowe.
Sikio halishindi kichwa
 
watanzania hatutawasamehe wakisababisha CCM ishinde mwaka 2015
Mkuu SG8, hii kauli imenistua kidogo!, unamaanisha wale watakaosababisha CCM ishinde tena, Watanzania hatuta wasamehe?, hao watakaipa ushindi hiyo CCM jee watakuwa ni kina nani?.

Wakati tukijiandaa kutowasamehe watakaosababisha CCM ishinde mwaka 2015, jee tutawafanya nini hawa ambao tangu leo wanatamka wazi kuwa ili Chadema ishinde 2015, ni lazima ifanye a,b,c,na d!, na kutoa angalizo, isipofanya hivyo , 2015 ni CCM tena!. Mpaka sasa, Chadema bado haijafanya, wala haijaonyesha kufanya!. Ikitokea ni kweli 2015, CCM ikashinda tena kwa sababu Chadema haikufanya a,b,c,na d, itamaanisha, waliofanya CCM ishinde tena 2015 ni Chadema, jee hao nakuuliza mkuu SG8, jee mtawafanya nini hawa Chadema wataosababisha CCM ishinde tena 2015?.

By the way nimelipenda sana lile jina la utangulizi la rais wa ...Ford wa Marekani, just curious what does "S" stand for?.

P.
 
  • Thanks
Reactions: SG8
Katika kipindi cha miaka 10 mfululizo nimekuwa nikiwafuatilia kwa karibu sana hawa wanasiasa wawili. Kwa kipindi chote hicho Mbowe hajawahi kumfunika kijana kwa mambo yafuatayo:

1. Uwezo wa kujenga hoja zenye akili
2. Uwezo wa kufafanua mambo ya kisiasa ya nchi bila kutumia matusi
3. Haiba ya kisiasa na uwezo mkubwa wa kufikisha ujumbe kwa wananchi
4. Anaweza kuvuta umma peke yake bila kubebwa na Dr. Slaa

Zitto has bright future compared to Mzee Mbowe.

Tukifika siku ya kutafuta mgombea wa Uraisi tutawatathimini sasa tunatathimi anayejenga Chama kwanza. Swala la kuongea na kutenda ni vitu viwili tofauti sana, ukisoma yale makarabrashia ya maprofesa wetu ni mazuri sana utendaji ndio unatupashida. Duniani watu hawawezi kufanana na kulingana kwa kila kitu.

Ndani ya Chadema viongozi wetu wote wana input na tunaziheshimu sana kazi zao kwani kila aliyefanya kwa moyo wa kuwasaidia watanzania na chama tutamwenzi. Waacheni wafanye kazi ya kujenga chama msiwatoe kwenye hilo kwa sasa na wale wanaofanya kampeni za uraisi waacheni wafanye msiwatoe kwenye hilo na wale wanaounganisha watanzania waacheni wafanye na wale wanaovuruga chama vile vile waacheni, Acheni ngano na magugu viote pamoja ili wakati wa palizi usije ukachanganya ukang'oa ngano badala ya magugu.

Busara za Chief Mkwawa wa kalenga
Hawawezi kutulia kama maji mtungini vilevile hawawezi kuvunja mtungi kwani kama wana akili wanajua wanauhitaji sana mtungi ili kuweza kuishi humo ndani. Kuna wakati joto linazidi na baridi inazidi vyote ni vipindi wao wanaita Demokrasia.
 
So what? wewe ungeweza hata kusema ZZK ni bora kuliko MUNGU bado haimfanyi wana CHADEMA wamwamini. huyo kama unampenda nenda ukanywe nae chai. essentially yeye amekosea kuji affiliate na ccm wakati anatamani aonekane ni mwana mageuzi.CHADEMA kamwe hatuta mpa nafasi ya kugombea urais hata angeungwa mkono na wana ccm namna gani.he remains to be a betrayer.
 
Katika kipindi cha miaka 10 mfululizo nimekuwa nikiwafuatilia kwa karibu sana hawa wanasiasa wawili. Kwa kipindi chote hicho Mbowe hajawahi kumfunika kijana kwa mambo yafuatayo:

1. Uwezo wa kujenga hoja zenye akili
2. Uwezo wa kufafanua mambo ya kisiasa ya nchi bila kutumia matusi
3. Haiba ya kisiasa na uwezo mkubwa wa kufikisha ujumbe kwa wananchi
4. Anaweza kuvuta umma peke yake bila kubebwa na Dr. Slaa

Zitto has bright future compared to Mzee Mbowe.

Mkuu hapa hujaeleweka kabisa tiririka basi ile ueleweke na sio umesikia watu wanazungumza kwa kona au kwa baa then umepata vijicent vya kupeluzi kwa kisimi chako cha mchina hata sitaki kufahamu leta habari zenye maana kama huna issue weka kwa Facebook hapa we dont want saisa rahisi kama hizi
Nakupa akiba ya maneno kusanya Speech za Mh Zitto Kabwe ndani na nje ya nchi pia kusanya za Mh Freeman Mbowe za nje ya nchi na ndani ya nchi then sikiliza na acha ushabiki usio na maana then lete uzi hapa nani zaidi acha mambo ya kitoto wewe Mh Mbowe ana busara na maspeech yake ya kiutu uzima fuatilia speech ya juzi alivyokuwa STATE au kipindi kile Mh Lema alivyovuliwa Ubunge then uje tena acha mambo ya ki Wasira Wasira wewe
 
Tukifika siku ya kutafuta mgombea wa Uraisi tutawatathimini sasa tunatathimi anayejenga Chama kwanza. Swala la kuongea na kutenda ni vitu viwili tofauti sana, ukisoma yale makarabrashia ya maprofesa wetu ni mazuri sana utendaji ndio unatupashida. Duniani watu hawawezi kufanana na kulingana kwa kila kitu.

Ndani ya Chadema viongozi wetu wote wana input na tunaziheshimu sana kazi zao kwani kila aliyefanya kwa moyo wa kuwasaidia watanzania na chama tutamwenzi. Waacheni wafanye kazi ya kujenga chama msiwatoe kwenye hilo kwa sasa na wale wanaofanya kampeni za uraisi waacheni wafanye msiwatoe kwenye hilo na wale wanaounganisha watanzania waacheni wafanye na wale wanaovuruga chama vile vile waacheni, Acheni ngano na magugu viote pamoja ili wakati wa palizi usije ukachanganya ukang'oa ngano badala ya magugu.

Busara za Chief Mkwawa wa kalenga
Hawawezi kutulia kama maji mtungini vilevile hawawezi kuvunja mtungi kwani kama wana akili wanajua wanauhitaji sana mtungi ili kuweza kuishi humo ndani. Kuna wakati joto linazidi na baridi inazidi vyote ni vipindi wao wanaita Demokrasia.
KAMWENE BE! YOU ARE A GREAT THINKER OF OUR TIMES,Unanikosha kwa nondo zako zenye hekima murua.mleta mada bila shaka hana cha kuongeza bila shaka amebaini kuwa CHADEMA wako ahead of them a couple of miles
 
Mkuu SG8, hii kauli imenistua kidogo!, unamaanisha wale watakaosababisha CCM ishinde tena, Watanzania hatuta wasamehe?, hao watakaipa ushindi hiyo CCM jee watakuwa ni kina nani?.

Wakati tukijiandaa kutowasamehe watakaosababisha CCM ishinde mwaka 2015, jee tutawafanya nini hawa ambao tangu leo wanatamka wazi kuwa ili Chadema ishinde 2015, ni lazima ifanye a,b,c,na d!, na kutoa angalizo, isipofanya hivyo , 2015 ni CCM tena!. Mpaka sasa, Chadema bado haijafanya, wala haijaonyesha kufanya!. Ikitokea ni kweli 2015, CCM ikashinda tena kwa sababu Chadema haikufanya a,b,c,na d, itamaanisha, waliofanya CCM ishinde tena 2015 ni Chadema, jee hao nakuuliza mkuu SG8, jee mtawafanya nini hawa Chadema wataosababisha CCM ishinde tena 2015?.

By the way nimelipenda sana lile jina la utangulizi la rais wa ...Ford wa Marekani, just curious what does "S" stand for?.

P.
Unajua PASCO watanzania wake kwa waume wamedhamiria kuona ccm inaondoka madarakani.fanya utafiti kidogo utagundu kuwa wasomi wote ambao siyo opportunists wapo CHADEMA.waliopo ccm wana kadi mbili moja ya huko wana chumi tumbo na ya CHADEMA.kuna wasio jua nchi inaelekea wapi kama ZZK and the like sisi tunawajua.tutahangaika nao tu usiku na mchana mpaka NCHI yetu ikombolewe,
 
Watanzania bhana kazi kujadili watu tu! na kulalamika! hivi unafikiri kwanjia hii tutaiondoa Mabwepande madarakani?
 
Kazikubwa ima wewe ni zitto au kuwadi wake. Leteni threads za zitto wenu kila siku lakini hazitasaidia kukubalika zaidi ya kuchambuliwa hadi ubovu wake udhihirike. Mwambie huyo dogo akaoe ajue maana ya familia badala ya kudandia urais. Akitaka kugombea si angoje muda wa kufanya hivyo. Zitto kumbe hana tofauti na Kikwete aliyetumia watu kuwachafua wenzake ili yeye aonekane bora wakati bomu! Tunaanza kumfahamu vizuri huyu dogo mwenye uchu wa madaraka kama fisi na nyama. ISS at work. Go ahead and see if you will make anybody goof. Shame on you!
 
Jina lako tu linaonyesha jinsi ulivyomtumwa na unavyotumika bila kujijua
Unajua PASCO watanzania wake kwa waume wamedhamiria kuona ccm inaondoka madarakani.fanya utafiti kidogo utagundu kuwa wasomi wote ambao siyo opportunists wapo CHADEMA.waliopo ccm wana kadi mbili moja ya huko wana chumi tumbo na ya CHADEMA.kuna wasio jua nchi inaelekea wapi kama ZZK and the like sisi tunawajua.tutahangaika nao tu usiku na mchana mpaka NCHI yetu ikombolewe,
 
naunga mkono hoja nia kwa mia , watakusambulia sana, watakudharau sana ila siku ukweli ukijulikana watakuheshimu sana. Namuungamkono zitto he can read, research and write. Kuna watu humu JF hata kusoma kitabu chenye kurasa kumi hawajawahi, hawajawahi kufanya tafiti na kuandika analysis kazi yao ni siasa za umbea na magazeti, nasema sio aina ya siasa za kuisadia tanzania leo. pamoja na umasikini wa tanzania na kuungwa mkono kwa chadema , lazima tuwaeleze watanzania njia mbadala za kuleta maendeleo yao kama zitto anavyofanya sio kina heche unaweza kufikiri ni tape iliyorekodiwa anaongea ufisadi, mara polisi kila siku lakini hasemi tunatatatua vipi matatizo ya watanzania.
sasa umeandika nini? Hebu endelea kunywa gongo zako
 
Back
Top Bottom