Every crisis in the African continent can only be solved by outsiders, specifically the West. The Darfur crisis is no different. The solution to the Darfur crisis will not come from the Sudanese government nor from the African Union. The solution will come from the West. Perhaps this indictment of President Bashir is the first step towards that solution, I don't know. But one thing I know for sure is Africans can not solve and are incapable of solving this Darfur crisis. As my good European friend used to say, Africa is a White man's burden. Oh, how true those words were and still are today.
Walichemsha kwenye Zimbabwe sasa wana hamia Darfur!
Hao wanaouwawa huko Darfur ni NGOZI NYEUSI WAKRISTO!
Na Janjaweed ni WAARABU TU KAMA ROSTAMA na Omar Al Bashir mwenyewe!
Chunga sana JK kwani inaonyesha unamsikiliza sana Rostam na bado unafanya hivyo...Kwani msimamo huu si wa Tanzania bali wako wewe na Rostam na waarabu wengine!
Wewe J Mushi naona hapa unafanya assumption ambazo haziko ufanya tatizo la darfur liwe la kidini. NI kwamba Darfur conflict is both inter religious and intrareligious, inter regional and intra regional, inter racial and intra racial, inter ethnic and intra ethnic. Tatizo kubwa Darfur ni kwamba huwezi kuidentify clear Actors. Serikali ambayo inataka iwe kinara katika mediation ni sehemu ya mgogoro wenyewe.
Umesema Darfur, wana kaa wakristu. Huu ni uongo mkubwa. Darfur is moslem dominant area. Tena wale waislamu haswa. Ni kweli wengi wa Janjaweed wana asili ya kiarabu lakini pia si wote. Mzizi wa mgogoro wa Darfur ni ardhi hasa ukame. Hii inaweza kutokea hata kwetu Tanzania. Tunamkoromea Bashir lakini uharibifu wa mazingira unaweza sababisha sehemu nyingi Tanzania zikawa Darfur pia. Kinachotokea sehemu mbalimbali zenye migodi, Mwanza, Shinyanga nk. Maeneo yanayozunguka mlima Kilimanjaro na sehemu nyingine Tanzania, ni kama tunaandaa Darfur taratibu tu. Inabidi tujifunze kutoka sudan na sio kukoroma tu kana kwamba sisi ndio tumestaarabika sana.
J Mushi unachanganya Sudan kusini na Dar fur. Mgogoro kati ya Kaskazini mwa Sudan na kusini ni zaidi kati ya waislamu na wakristu. Sasa hivi Sudan imezungukwa na migogoro mingi na tusiangalie tu Darfur in Isolation. Mgogoro kati ya serikali ya sudan na sudan kusini bado uko hati hati. Mashariki mwa sudan ambapo ndipo makampuni mengi zaidi ya kichina na kihindi yanachimba mafuta kuna mgogoro mwingine umeibuka hivi karibuni. Darfur kwa upande wa magharibi Chad kuna mgogoro ambao hapo mwanzoni ulikua unaleta wakimbizi sehemu za Darfur. Hii inaweza pia kuwa imesababisha land pressure.
So ni kwamba bado hata Bashir akipelekwa mahakama gani, haitakua tatizo lan kudumu Darfur wala Sudan. Tukumbuke kuwa Kartoum sasa hivi inangara kwa uchumi Afrika. Inakua kama ndio Dubai ya Afrika. Ni katika kipindi Cha Bashir wafanyabiashara wengi wameweza kunufaika Sudan. Matajiri wengi wakubwa Afrika wanatoka Sudan. So si kwamba Bashir anachukiwa na watu wote Sudan. Infact wanaomchukia ni wachache kuliko wanaompenda. Ninaishi na wasudan wengi mchanganyiko toka sehemu tofauti Sudan. Wengi wanakubali kuwa yuko responsible kwa kiasi fulani katika mgogoro wa Darfur lakini bado wanaamini he is among the best president they ever had, hasa kwa maswala ya uchumi. Bashir kama Mugabe ametangazwa mwaka huu na taasisi moja ya utafiti kuwa worst dictator in the world. Yeye kama Mugabe amekua mtu aliyeonesha wazi wazi chuki yake kwa nchi za Magharibi. Kwa standard za Magharibi Bashir hafai kuwa Rais. lakini hali halisi Sudan iko hatihati sana. Bashir may be not the right person, but does current social and political environment allow flourishing of liberal democracy. Nasema haya kwa sababu Somalia mwaka 1991 ilikua hivihivi. Barhe alipinduliwa lakini nini kilifuata. Damu tupu kwa miaka zaidi ya 15, bila serikali.
Haya wewe unayedai unajuwa Sudan kila mahali niambie kama Bin Laden una hisa naye.
MJJ INAELEKEA HUU MGOGORO HUJAUFUATILIA VIZURI. Ni kwamba Bashir alishashinikizwa na umoja wa mataifa asitishe mauaji darfur. Kuna resolution 1706 ya baraza la usalama ambalo lilizitaka nchi ntyingine kuweka vizuizi vya kibiashara Sudan ili Bashir aridhie. Lakini hili limekua resolution bubu lisilo na meno. Kwanza kati ya wanachama 15 wa baraza la usalama Urusi, China na Quatar walikataa kusign.
1) Urusi kwa sababu ndio wanaouzia Sudan Silaha. Waikisign watapata hasara kibiashara.
2) China ni nchi yenye makampuni mengi zaidi Sudan. Tangu mwaka 2005 Bashir alipotembelea China kila mwaka kuna kiongozi wa juu Sudan huenda China kwa majadiliano namna ya kuboresha biashara. China inahitaji mafuta ya Sudan hivyo haingeweza kusign hii resolution
3) Quatar ni sababu hizo hizo
China hawataki amani Sudan hata kidogo. Kwa nini? Kabla ya miaka ya 1980 Sudan kulikua na makampuni mengi ya nchi za magharibi ikiwemo Shell, BP nk. Baada ya machafuko ya kisiasa yalianza kuondoka. China walichukua hii nafasi kuanza kuinvest Sudan kwa fujo. Tukumbuke kila sehemu wachina walioinvest zaidi Afrika kuna mgogoro. Nigeria, Angola, Afrika ya Kati, Congo Brazaville, Sierra Leone nk.
Darfur kukiwa na amani ina maana makampuni ya magharibi, ambayo huenda sambamba na sera za magharibi yataanza kuivamia Sudan kwa fujo. Hii ina maana kutakua na ushindani kwa makampuni ya China, na faida wanayopata itapungua.
Kama Bashir ana hatia na wapambe wake China, India, Urusi nk nao washtakiwe.
Most of the Arab youth [who] went there to Afghanistan ... were encouraged by their own respective government. Most of these governments thought that these individuals, after their victory in Afghanistan, they had [a] spirit of being more fundamentalist, and they thought that they were looking forward to establish a fundamentalist or radical Islamic government in their own respective countries. Their presence was unwanted in their own respective countries. It happened at that time Sudan was open to all Arabs. They didn't need a visa to enter Sudan. As well as the Islamic Sheik of the government in Sudan [had] encouraged them to come to Sudan and enter and settle here.
Walichemsha kwenye Zimbabwe sasa wana hamia Darfur!
Hao wanaouwawa huko Darfur ni NGOZI NYEUSI WAKRISTO!
Na Janjaweed ni WAARABU TU KAMA ROSTAMA na Omar Al Bashir mwenyewe!
Chunga sana JK kwani inaonyesha unamsikiliza sana Rostam na bado unafanya hivyo...Kwani msimamo huu si wa Tanzania bali wako wewe na Rostam na waarabu wengine!
Huyo Bashir aliwahi hata kumpa OSAMA BIN LADEN MAKAZI NA KUMPA NAFASI KAMA RAIS WETU ALIVYOMPA Rosama nafasi!
Bin Laden alikuwa na viwanda hata vya madawa huko Sudan na Bashir mwenyewe kampiga tafu sana!
Na hata sasa si shaka bado anawasiliana na Bin Laden na inawezekana anajuwa alipo.
JK...Usije washington kwani misimamo yako ni ya kigaidi na pia hutaki HAKI!
Jamani jamani jamani. Hizi comments zimetaipiwa kabla au baada ya kufikiri. Mmmh ndo maana mara nyingi huwa nateleza tu ninapoona hivi.
....Thanks The Truth!! Now tell me about Kashmir.... who is going to solve the crisis over there?!!...remember it's been a while now..
He sits at the apex of, and personally directs, the states hierarchical structure of authority and the integration of the Militia/Janjaweed within such structure. He is the mastermind behind the alleged crimes. He has absolute control.
d. AL BASHIRs [FONT=Palatino Linotype,Palatino Linotype][FONT=Palatino Linotype,Palatino Linotype]mens rea
AL BASHIR has genocidal intent. His forces and agents submitted a substantial part of each target group living in IDP camps to conditions calculated to destroy each group in part.
In attacks, AL BASHIR forces consistently made statements such as "[/FONT][/FONT]the Fur are slaves, we will kill them[FONT=Palatino Linotype,Palatino Linotype][FONT=Palatino Linotype,Palatino Linotype]"; "[/FONT][/FONT]You are Zaghawa tribes, you are slaves[FONT=Palatino Linotype,Palatino Linotype][FONT=Palatino Linotype,Palatino Linotype]ʺ[/FONT][/FONT]; [FONT=Palatino Linotype,Palatino Linotype][FONT=Palatino Linotype,Palatino Linotype]ʺ[/FONT][/FONT]You are Masalit. Why do you come here, why do you take our grass[FONT=Palatino Linotype,Palatino Linotype][FONT=Palatino Linotype,Palatino Linotype]? [/FONT][/FONT]You will not take anything today[FONT=Palatino Linotype,Palatino Linotype][FONT=Palatino Linotype,Palatino Linotype]ʺ[/FONT][/FONT]. [FONT=Palatino Linotype,Palatino Linotype][FONT=Palatino Linotype,Palatino Linotype]The language used by perpetrators of rape made also clear the genocidal intent underlying their actions: "[/FONT][/FONT]After they abused us, they told us now we would have Arab babies and if they could find any Fur woman, they would rape them again to change the colour of their children[FONT=Palatino Linotype,Palatino Linotype][FONT=Palatino Linotype,Palatino Linotype]". Perpetrators of other crimes have used language which is not just ethnically derogatory, but evidencing an intention to destroy: "[/FONT][/FONT]You are blacks, no blacks can stay here, and no black can stay in Sudan The power of Al BASHIR belong to the Arabs and we will kill you until the end[FONT=Palatino Linotype,Palatino Linotype][FONT=Palatino Linotype,Palatino Linotype]"; "[/FONT][/FONT]we will kill all the black[FONT=Palatino Linotype,Palatino Linotype][FONT=Palatino Linotype,Palatino Linotype]"; "[/FONT][/FONT]we will drive you out of this land"; [FONT=Palatino Linotype,Palatino Linotype][FONT=Palatino Linotype,Palatino Linotype]"[/FONT][/FONT]we are here to eradicate blacks (nuba)[FONT=Palatino Linotype,Palatino Linotype][FONT=Palatino Linotype,Palatino Linotype]"; "[/FONT][/FONT]This is your end. The Government armed me"[FONT=Palatino Linotype,Palatino Linotype][FONT=Palatino Linotype,Palatino Linotype]. [/FONT][/FONT]
The solution will come from the West.
<----------->
But one thing I know for sure is Africans can not solve and are incapable of solving this Darfur crisis.