MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 20,897
- 63,784
IF THIS ISN'T LOVE
Namuelewa sana huyu, bibie.She killed it! BTW Hudson hajawahi kuniangusha, she did me a favor in the "IF THIS ISN'T LOVE"
Spot light na ile movie ya dream girls akiwa na Beyonce na Eddie Murphy nilikuwa na nyimbo zake ktk Nokia express music yangu for about 2 yrs bila kudelete hata moja. Hapa niliona kipaji kilichokosa kubebwa. This was Adele and Houston to meShe killed it! BTW Hudson hajawahi kuniangusha, she did me a favor in the "IF THIS ISN'T LOVE"
Nimemuona Mr Farrakhan hapo mbele najua nation of Islam protecting the area hahaaaHakika anauwezo wa kuimba!
Hohohooooo! Hiyo mambo ni hatari faya! Hiki kibinti kinajua aisee, and her best part ni kuwa hana mambo mengi!Namuelewa sana huyu, bibie.
Dont let me hit with my pocket book,
I am his only woman,
Jesus promise me home.
..........anajuag sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Jenifer hudson ni jembe sana.
Hahaha huyu kazaliwa kuimba bwana. Uwezo wake inabidi tu uukubali hata kama humpendi.Jenifer hudson ni jembe sana.
Mfano, Ukimcheki hata kwenye ile muvi ya "DREAM GIRLS". Kuna nyimbo kule anaziimba unamsikiliza unahisi kua amezaliwa kuimba
Sent using Jamii Forums mobile app
SureHahaha huyu kazaliwa kuimba bwana. Uwezo wake inabidi tu uukubali hata kama humpendi.
Kuna kipind alisumbuliwa na scandal za kafara huh.Hohohooooo! Hiyo mambo ni hatari faya! Hiki kibinti kinajua aisee, and her best part ni kuwa hana mambo mengi!
Nilipata nafasi ya kufananisha vocals ktk wimbo unaitwa And Iam telling you...nikapitia na watu wanachosema aisee huyu mtu in hatari. Ktk vote za mitandaoni;
Sara Ikumu, well that's an alien.Nilipata nafasi ya kufananisha vocals ktk wimbo unaitwa And Iam telling you...nikapitia na watu wanachosema aisee huyu mtu in hatari. Ktk vote za mitandaoni;
1. Jenipher Holiday
2.Jenipher Hudson
3. Somebody Arley
4. Kuna kiumbe kinaitwa Sara Ikumu
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo