The Vitruvian man: Ufahamu mchoro wenye utata kuhusu mwili wa mwanadamu uliochorwa na Da Vinci


Ukitaka ujue Mungu yupo, jifunze kuuingia ulimwengu wa roho kwa ukamilifu wake. Wazungu wanaita "spiritual meditation". Ukiweza kuzama kabisa kwenye through spiritual meditation, then utaujua ulimwengu wa roho unavyofanya kazi.

Spiritual meditation lazima iwe na godly source of spiritual power. Uchaguzi ni wako, either u-sourse spiritual power kwa MUNGU wa mbinguni (YAHWE) au mungu mwingine (shetani). Uki-source spiritual meditation kwa godly power ya YESU/YAHWE, then divine spiritual power itokayo kwa YESU/YAHWE ita-connect na NAFSI yako. Na endapo nafsi yako kwasasa iko connected na spiritual power ya mungu mwingine (other than JESUS/YAHWE unayemuomba), basi vita kubwa itaibuka kwenye ulimwengu wa roho kwani ile miungu iliyoshikilia nafsi yako haitakuwa tayari kuiachia kiurahisi, hasa kama ina haki kiroho kuishikilia nafsi yako.

Kumbuka kuwa biashara kubwa kuliko zote duniani ni biashara ya NAFSI ya mwanadamu, and it is purely spiritual business, invisible in the phyisical world but the most dominant of all in this world. Siku shetani atakapo acha kununua nafsi za wanadamu kupitia ibada wanadamu wanazompa shetani ili wanadam hao wapate something beneficial in return, huo ndio utakuwa mwisho wa ustaarabu wa mwanadamu duniani. Sababu ni kwamba mafanikio mengi ya mwanadam ameyapata kwa shetani coz masharti yake ni mepesi kulinganisha na yale ya MUNGU wa mbinguni(YAHWE). MUNGU anataka uache dhambi kabisa na umche kwa ukamilifu ndipo utapata baraka za YAHWE kwenye maisha yako, kitu ambacho watu wengi kimewashinda, hivyo wengi wameamua kukimbilia kwa shetani.
 
Mimi nimeweza kuona mapozi sita tu kwenye huo mchoro,ila ilibidi nitulize kichwa kwa dakika tano hivi ndio niweze kung'amua
 
Tusitishane mikao 16 wapi bwana mi naona miwili tuuu huo mkono ulioshushwa chini sijauona kabisa tusitishane usitutishe kwamba cc wengine ni matabulalasa usitutishe usitutishe .
 
Mi nimeona pozi 16 kamili.
01: Mikono ameinua juu yote miwili kuna pozi tofauti 4 kwenye miguu.
02: Mikono ipo chini yote miwili kuna pozi 4 tena.
03: Mkono wa kulia ameinua, wa kushoto upo chini kuna pozi 4 tena.
04: Mkono wa kushoto ameinua wa kulia upo chini kuna pozi 4 pia.

NB: Pozi nne namaanisha ukaaji wa miguu. Miguu yote kuwa chini 01, miguu kuitanua 02, Mguu wa kulia juu wa kushoto chini 03, na mwisho Mguu wa kushoto juu na wa kulia chini ndo pozi la nne.
NAOMBA KUWASILISHA.
 
Kwahiyo kutoamini uwepo wa mungu maana yake hauna akili.
Na wanaoamini uwepo wa mungu ndio wenye akili?

Africa ina watu wengi wanaoamini uwepo wa mungu ila haohao ndo wanaongoza kwa umasikini na hata africa yenyewe ni masikini.
Na chanzo kikubwa cha umasikini ni kukosa akili.

Unamaanisha da vinci ndio amekufanya wewe uamini uwepo wa mungu?
So da vinci asingekuwepo wewe usingeamini uwepo wa mungu?
Ina maana wewe huna akili ila mwenye akili ndio amekufanya uamini uwepo wa mungu?

Unaamanisha watu weusi hawana akili ila wazungu ndio wenye akili?

Ukiangalia dini zimeletwa africa na haohao wazungu.
 
.Uzi murua kabisa namkubali sana uyu jamaaa da vinci
ingawa naona watu wanapinga ingekua ndio mchoro wa kwanza kua na codes ningekubaliana na member wengne kua labda wachunguz wanachosha bongo zao lakin vinci ni mtu wa code sana kwenye Monalissa last supper kote kule tumeona
 
Hahahahaha kimsingi yanaweza fika kwasab mm Sina utaaramu wowot lakin nimefanikiwa huyaona mapozi 7 kwa haraka , kwa kutumia tu kuunganisha miguu na kichwa kimoja kimoja baadae nikaunganisha mkono mmoja na mwingine kwa kuitofautisha Kisha Tena nikaunganisha mguu mmoja na mguu mwgne yaan utaona maumbo mengi tofauti Ni kichwa tu ndio kibak constant vingine kuwa unachange
 
Tumia mguu wa kwanza na watatu utabaini pozi namba moja baada hapo tumia mguu wa pili na wa mwisho utaona pozi lingine tumia style hyo hyo hata kweny mikono pia utagundua hayo mapozi yanayosemwa hapo
 
Siku moja uje na uzi wa SPIRITUAL BUSINESS mkuu
 
Kufatilia mambo ya da vinc inabid nawewe pia uwe kichwa kwel keel
 
Siku moja uje na uzi wa SPIRITUAL BUSINESS mkuu

Brother hii topic ni pana sana, inahitaji muda na utulivu mkubwa. Kwahiyo, nikitulia nitakujibu kwa ufasaha kabisa, though nitaandika kutoka kwenye perspective ya BIBLIA TAKATIFU.

Kwa sasa elewa tu kwamba, the greatest commodity of exchange ili kumuwezesha mtu kupata nafasi, vyeo, biashara na utajiri ambavyo binadamu wanakimbizana usiku na mchana kuvipata, sio fedha (mfano US $)kama watu wengi wanavyodhani. Fedha na utajiri unaoonekana katika ulimwengu huu wa mwili ni matokeo tu.

The greatest commodity of exchange katika ulimwengu huu ni NAFSI ZA WANADAMU. Kama umeikabidhi nafsi yako kwa MUNGU/YAHWE, tambua kabisa kila unachokitaka katika maisha yako, katika misingi ya uhalali na taratibu za YAHWE, utakipata huko. Wapo waliouza nafsi zao kwa shetani ili wapate wayatakayo humu duniani (hawa ni wengi sana). Kuikabidhi nafsi yako huko kunafanyika kwa njia ya ibada.
 
Nausubiri kwa hamu sana huo uzi
 
Huu uzi
ulishautoa au bado upo jikoni ?
 
Aristotle ndio mbabe wa kweli na kwenye angle zote.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…