The truth about u women

Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,286
4,493
Wanawake ....garbage in garbage out!

attachment.php
 
Hahahahaha! Mpwa! Mpwa! Mpwa!

Don't you dare to give your Mzenj a crap! You better not!!!!
 
Aksante Masanilo kwa kuliweka hili wazi. Na kweli if you give me a crap prepare to get tonnes of shit

I was given a crap and now am providing the shit meeeeeen .......... he wishes he never met me!! Lol
 
Mhhhh unatishia nyau wewe! Unaweza kuza hako kapicha kangu? nikijaribu nashindwa! nasikia wewe ni MOD kwenye jukwaa hili...
 
heheheh kuna posibiliti pia ya kumpatia mtoto mmoja , yeye akakupatia wengine wawili with difurenti DNA.

Aisiiii! Sikujua hilo! Ngoja leo nikatuangalie kwa karibu tule tubinti twangu tuwili LOL!
 
I appreciate on what women do...Lakini kwanini watu mnakazia maongezi kwenye upande mbaya tu(upande wa vuvuzela?)...
 
I appreciate on what women do...Lakini kwanini watu mnakazia maongezi kwenye upande mbaya tu(upande wa vuvuzela?)...
unajua hawa viumbe hawatabiriki...........ukimpa upendo mahususi, unaweza ambulia dharau kwa mashoga zake!!
sijasema mm, nimefikisha ujumbe kutoka kwa baba naniliu
 
Aisiiii! Sikujua hilo! Ngoja leo nikatuangalie kwa karibu tule tubinti twangu tuwili LOL!

heheheeh kamanda unaweza usigundue vile vile, mchina kaingia mpaka kwenye DNA siku hizi, hujaskia kuna wazembe wanataka kufeki DNA ya Obama?
 
Malaria Haikubalikiiiiiiiiii!!!

The Following User Says Thank You to Chrispin For This Useful Post:
klorokwini (Today)
 
heheheeh kamanda unaweza usigundue vile vile, mchina kaingia mpaka kwenye DNA siku hizi, hujaskia kuna wazembe wanataka kufeki DNA ya Obama?

Ahaa! Kwa hiyo dawa ni kutompa mwanamke mtoto ili atoe kizazi kabisa!!!
 
Ahaa! Kwa hiyo dawa ni kutompa mwanamke mtoto ili atoe kizazi kabisa!!!

dawa ni kuwaandikia urisi tu, imeandikwa kwamba "kitanda hakizai haramu forever", (huu msemo aloutunga ana akili kweli, samtaimu inabidi tujipe ma hope bana)
 
Mama wa Sabustensi huyo. Klorokwini umechokoza nyuki. Subiri na Nyamayao aje hapa utapata habari yako. Mi simo!
Mpwa usikimbie,na mwanajamiione nae yuko njiani anakuja.Kwani unaogopa nini mpwa,yanayosemwa si ni ukweli na hata kama na wanaume ndivyo wafanyavyo kosa halirekebishwi kwa kosa mpwa ingawa wengi wao uwa tunawatifuatifua sasa wanapotifuka ndo hayo,na wengine hawana haja ya kutifuliwa,walishatifuka tangu zama za mawe za kale.
 
Back
Top Bottom