The Tricky Question: Mara ngapi na mkeo?

Nadhan hili swala liingizwe kwenye katiba mpya....formula yake ni ngumu sana yet very simple....yaan inatemea na utashi wa wahusika....am just thinking! Mie huwa narushia almost 4 times per week...si mchana si usiku...nimeo tanga mie...nikienda kitandan kujilaza tu...naletewa...mwaka wa saba huu sijawah kuskia neno leo sijiskii vizur! Siku za mwezin kwakweli huwa nakuwa mnyonge sana....!
 
Haka kamchezo kuweka ratiba ni mateso bila chuki, acha tu mambo yajipe kwakweli hasa morning glory kuipa ratiba huwa ni ngumu aisee
 
Dah .., kwa mwanaume kama michongo yako ya siku imeenda kama ulivyopanga, umekula vizuri sasa hapo hakuna kingine zaidi ua kupiga game
 
.,,, na kisayansi inakuwa poa zaidi ikifanyika kwenye nyuzi joto 20 hadi 23 za sentigred
 
basi mi ninaposoma comments za wamama/wadada nafurahi kweli.
 
Mi mpaka nichepuke ndo nakuwa na mzuka na wife vinginevo ata wiki itapita sijamdinya
 
Afya na stamina ya mwadamu ndiyo viangalizo
 
As long as wote hisia zinaruhusu fanyeni,msi overdo hadi mkakosa hamu nalo


Kukutana kwa wakati mmoja mara chache hivyo mawasiliano ya kujitoa kafara kumridhisha mwenzio ni ishara kubwa ya uoendo.

For love is not receiving but giving when you feel of not
 
Kama mnanyege mbona huwa mnazuga kujifanya sitakinataka eti mpaka muombwee..!
Ni matarajio potofu ya kijamii ili wa ionekane wana maadili kumbe madarasa yote wameyamaliza na kuhitinu bila zengwe
 
Hamna haja ya kuwa na ratiba, ila ni bora na muhimu sana kuhakikisha mnaifanya walau mara moja kwa wiki. Kwa wana ndoa ambao bado wachanga, inafaa kila siku walau mara moja kwa miaka miwili ya kwanza. Mnapiga breki pale mke anakua kwenye siku zake.

Lakini kadiri miaka inavyokwenda ndivyo mnapunguza hadi mnaishia kwenye moja au mbili tu kwa wiki, hiyo ni wakati mpo kwenye zaidi ya miaka kumi ndani ya ndoa.

Cha msingi, mwanaume usije kumnyima mkeo wakati anajiskia, akitaja tu hapo usisubiri chochote, muonyeshe upo tayari. Jaribu kula vitu vinavyokupa nguvu, haswa mbegu za mlonge na maboga, pia tikiti maji, binafsi vimenisaidia sana miaka mingi kwa mke wangu.
 
haitakiwi kuwe na formular,siku yoyote,saa yoyote na mahali popote ili mrdi kuwe na faragha....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…