The Tricky Question: Mara ngapi na mkeo?

Any time is time. inamfanya mwenzio akuzimie.
 
Hapo kwenye '' twende tukastue '' pameniacha na furaha sana mkuu.
 
Zikipanda tu hapo hapo hakuna formular
Hiyo haina formula hata kidogo. Kuna wakati inakuwa mfulilizo na wakati mwingine mnapumzika.

Wazungu yamewashinda ya kuweka ratiba. Ni kama watoto wadogo, wapate chakula wakijisikia!
 
Mi naona hili tendo lazima liwe na kiasi, furaha ya tendo hili ni kuwa na ratiba maalum, mkikubaliana ninyi wawili
 
Hakuna ratiba aisee mkijifanya mnapanga ratiba ikaangukia siku zako zile inakuaje
 
Faida ya ratiba ni kumpunguzia kazi ya mwanaume kumuandaa mkewe, maana mwanamke apaswa kujiandaa mwenyewe.

Vinginevyo Dizi la kuvundika halifikii utamu wa dizi la kuivia mgombani kisha ulifume hukohuko shambani!!!!
 
Nadhani mara3 kwa wiki ili kuleta ile kumisiana kuongeza utamu lol

Ila sio kwamba ndio sheria,ninapojiskia anytime au mwenzangu anapojiskia muda wowote hatuna budi kufanyana.
Hapo ulipoweka neno "kufanyana"nimeshtuka nawaza papuchi tu.....!
 
mimi mchaga wangu ananitaka niweke appointment kwanza na wakati mwingine inabidi nitengeneze mazingira ya kutoa hongo! ndio mechi ya kirafiki ifanyike kinyume na hapo mechi itahairishwa au mechi ya kibabe ifanyike.
 
Swali la kizushi kwa waliooa na kuolewa tu:-

Mwanaume akisema nataka mwanamke anaweza kusema leo sijisikii vizuri, kwa hiyo game inaahirishwa au inalazimishwa hivyo hivyo mtu amenuna.

Je ni mazingira gani mwanamke akisema nataka mwanaume anaweza kusema sijisikii vizuri? Au hii inaapply upande mmoja tu!
 
Hakuna timetable. Inakuja bila kutarajia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…