The Top Entrepreneurs of the Last 100 Years

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
7,789
8,914
The Top Entrepreneurs of the Last 100 Years

[h=2]Andrew Carnegie[/h]
Andrew Carnegie Built an empire around the production of steel, implementing techniques such as the Bessemer process that allowed for increased efficiency and lower production costs ultimately allowing him to beat out the competition and for America to surpass Great Britain in the output of steel.

[h=2]Oprah Winfery[/h]
"The Oprah Winfery Show" was the catalyst that turned her into national icon. From this she built an empire in which she was both the business brains and the face of it. Her endeavours have taken her into many different markets and have yielded unprecedented success. She has capitalized on her charisma and confidence of the public to become one of the most powerful people in the media.

[h=2]Thomas Edison[/h]
Thomas Edison One of America's greatest inventors, Thomas Edison's business success can be attributed to one core concept: Innovations alone cannot generate profit; they must be realized into actual, consumer-valued products.

[h=2]Estee Lauder[/h]
Estee Lauder One of the largest and most successful manufacturers of cosmetics, Estee Lauder's core business philosophy centered on the production of quality products that would surpass the expectations of the customer. She advertised her products by distributing free samples, of carefully coached her sales staff on the importance customer attention.

[h=2]Ray Kroc[/h]
Ray Kroc Founder of McDonald's, Ray Kroc is the poster boy for the American business success story. He espoused long-term growth, not short-term profits which ultimately allowed him to build the largest chain of fast food restaurant in the world.

[h=2]Bill Gates[/h]
Bill Gates Co-Founder of Microsoft, Bill Gates is no stranger to top entrepreneur lists. His success can be attributed to his pure domination of the software industry.
His strategy has been centered on keeping competitors at bay, while continually expanding the market.

[h=2]Conrad Hilton Sr.[/h]
Conrad Hilton Sr. founding the first coast to coast hotel chain in 1943 and then the first international hotel brand in 1949, Hilton manifests the essential entrepreneurial quality of perseverance and building from the ground up.

[h=2]Steve Jobs[/h]
Steve Jobs Co-founder of Apple, Steve Jobs knows exactly how to design computers and tech gadgets alike: sleek and simple to use. Jobs revolutionized the computer world by building and marketing his products to a customer who desired ease of use as much as substance.

[h=2]Henry Ford[/h]
Henry Ford transformed the auto manufacturing process. His assembly lines pumped out inexpensive cars for middle class America. His success lay in turning a luxury product into one available to a mass market by revolutionizing manufacturing techniques.

[h=2]John D. Rockefeller[/h]
John D. Rockefeller as king of oil industry, Rockfeller capitalized on the microeconomic concepts of economies of scale and vertical integration of increase efficiency and buy out his competitors.

[h=2]Michael Dell[/h]
Michael Dell, CEO and founder of Dell computers revolutionized the PC world by building computers and selling them directly to the customer. This technique allowed for reduced production costs and ultimately lower costs of the customer.

[h=2]Sam Walton[/h]
Sam Walton founder of Wal-Mart, the world's largest retailer, Sam Walton saw and capitalized on the market for discounted stores. He bought direct from manufacturers and used economies of scale to deliver the lowest possible prices.

[h=2]Richard Branson[/h]
Branson's first project, a mail-order record shop, has come a long way since 1970.
Now running Virgin Group, the conglomerate of 200 companies in 30 different countries, Branson is on the verge of sending ordinary people into space on virgin Galactics. His success lay in his aggressive approach of pushing his companies into new industries.

[h=2]Jeff Bezos[/h]
Jeff Bezos founder of Amazon.com; Bezos understood that the internet was a marketplace.
He capitalized of the lower production costs made possible by running a business online and was able to sell goods on his web site so far less than retail stores could.

[h=2]Walt Disney[/h]
Walt Disney the creator of Mickey Mouse, Walt Disney built the famous Disney Empire. His immense success was not without setbacks including failed films and other studios copying his style. However, Disney always bounced back and continually took risks – character traits essential to all successful entrepreneurs.

[h=2]Pierre Omidyar[/h]

Pierre Omidyar was the founder of the e-commerce site eBay; Omidyar revolutionized the internet by creating a site where people, artisans and small businesses could sell their products to consumers all over the world.

[h=2]Ralph Lauren[/h]
Lauren's vision for market in men's fashion began with stylish ties. By selling a lifestyle, Lauren's Polo brand pioneered men's fashion and soon expanded to women's fashion fragrances and house wares.

[h=2]William S. Harley[/h][h=2]Arthur Davidson[/h]
The founders of the famous Harley-Davidson motorcycles, these two friends pioneered the idea of putting an engine on a bicycle. There were set backs and emulating competitors but due to hard work and innovation Harley-Davidson survived two world wars and the Great Despression.

[h=2]Phil Knight[/h]
Phil Knight the founder of Nike, Phil Knight knows how to market his company. Capitalizing on innovating advertising campaigns along with endorsements from famous athletes Knight has truly branded his company and it has worked.

[h=2]Milton Hershey[/h]
Hershey's success lay in his core idea:
To let the masses enjoy something that had been previously only enjoyed by the wealth. Capitalizing on innovative machinery, he was able to deliver his products at a lower cost.

[h=2]Mark Zuckerberg[/h]

Maybe we can say Mark Zuckerberg the founder of Facebook.com is the most recent person on this list. His innovation has brought many people and friends together. His Website has the rank number 2 between all websites on the internet world and that all after six years of work.
 
Hii list ni ya Wamerakani tu! Kuna watu wengi all over the world. Kwa mfano - TOYODA
 
Hii list ni ya Wamerakani tu! Kuna watu wengi all over the world. Kwa mfano - TOYODA

Mkuu Hii list inahusu firs inoveters. Hapa hawaangalii wafanya biashara wakubwa mkuu.
- Jiulize kwa nini amewekwa mutengenezaji wa komputa ya dell na wamecha wa toshiba, hp na kazalika?
- Jiulize kwa nini amewekwa mugunduzi wa magari ya ford na wameachwa wa toyota, nisani, benzi na kazalika?
- Jiulize kwa nini wameweka muanzilishi wa mgahawa wa macdornad na wameachwa hao wengine?

MKUU HII LIST INA HUSU INOVETER WA KWANZA WALIO INOVET HIVYO VITU, MKUU MGUNDUZI WA GARI YUKO MMOJA PEKEE DUNIANI NA SI WAWILI, TOFAUTISHA NA MAKAMPUNI YA MAGARI,
- MKUU MACDONAD NDO MGUNDUZI WA FAST FOOD DUNIANI NA NDIYE ALIYE LATA MAPINDUZI YA HOTELI DUNIANI
- MKUU MGUDUNZI WA KOMPUTA YA DELL NDO AILIE LETA MAPINDUZI YA KOMPUTA DUNAANI NA KUANZA KUTENGENEZA PC

- KUNA MAKAMPUNI MENGI SANA YANAYO TENGENEZA KOMPUTA BUT INOVETER ALIKUA MMOJA TU.
- KUNA MIGAHAWA MINGI SANA YA CHAKULA DUNIANI TENNA MIKUBWA BUT MGUNDUZI NA MWANZILISHI WA MIGAHAWA ALIKUA MMOJA TU
 
Duh...Mark Zuckerberg ni innovator? Huyu wa Apple ni innovator? Huyo wa Dell je? Labda unipe maana ya innovator unayojua wewe, na enterpreneuer?
 
Dell sio mgunduzi wa Kompyuta hata kidogo, Dell wameanzisha njia mpya ya kuuza compyuta kupitia mtandao na kumruhusu mteja ku customize PC yake.

McDonald's pia sio mgunduzi wa fast food ila walikuwa wa kwanza kutumia assembly line process kwenye kutengeneza chakula hivyo kupunguza gharama.

Sidhani kama Mark alitakiwa kuwepo kabla ya Larry & Sergey wa Google, Hewlet & Packard wa HP, Wozniak wa Apple, Larry Ellison wa Oracle etc.

Toyota ni innovators wakubwa sana kwenye Manufacturing na quality control.

Sony ni innovators wakubwa kwenye electronics.

Kuna wahindi ni innovators wakubwa kwenye Software hasa outsourcing.

Hizi nchi nyingine naona hakuna ile tabia ya kumpa mtu mmoja credit yote, Marekani ndo wanalipenda sana hilo.
 
Hii ni list ya wamarekani tu,kuna vichwa vingi sana katika nchi zingine vilivyofanya mambo makubwa zaidi ya hawa jamaa.
Hii tabia ya kuwa mtu akishapewa credit na media za wamarekani basi huyo anaonekana ni mshindi wa dunia,inaboa sana.
 
Mkuu Hii list inahusu firs inoveters. Hapa hawaangalii wafanya biashara wakubwa mkuu.
- Jiulize kwa nini amewekwa mutengenezaji wa komputa ya dell na wamecha wa toshiba, hp na kazalika?
- Jiulize kwa nini amewekwa mugunduzi wa magari ya ford na wameachwa wa toyota, nisani, benzi na kazalika?
- Jiulize kwa nini wameweka muanzilishi wa mgahawa wa macdornad na wameachwa hao wengine?

MKUU HII LIST INA HUSU INOVETER WA KWANZA WALIO INOVET HIVYO VITU, MKUU MGUNDUZI WA GARI YUKO MMOJA PEKEE DUNIANI NA SI WAWILI, TOFAUTISHA NA MAKAMPUNI YA MAGARI,
- MKUU MACDONAD NDO MGUNDUZI WA FAST FOOD DUNIANI NA NDIYE ALIYE LATA MAPINDUZI YA HOTELI DUNIANI
- MKUU MGUDUNZI WA KOMPUTA YA DELL NDO AILIE LETA MAPINDUZI YA KOMPUTA DUNAANI NA KUANZA KUTENGENEZA PC

- KUNA MAKAMPUNI MENGI SANA YANAYO TENGENEZA KOMPUTA BUT INOVETER ALIKUA MMOJA TU.
- KUNA MIGAHAWA MINGI SANA YA CHAKULA DUNIANI TENNA MIKUBWA BUT MGUNDUZI NA MWANZILISHI WA MIGAHAWA ALIKUA MMOJA TU

Oprah Winfery ni mgunduzi wa kitu gani??
Naomba jibu lako mkuu.
 
Dell sio mgunduzi wa Kompyuta hata kidogo, Dell wameanzisha njia mpya ya kuuza compyuta kupitia mtandao na kumruhusu mteja ku customize PC yake.

McDonald's pia sio mgunduzi wa fast food ila walikuwa wa kwanza kutumia assembly line process kwenye kutengeneza chakula hivyo kupunguza gharama.

Sidhani kama Mark alitakiwa kuwepo kabla ya Larry & Sergey wa Google, Hewlet & Packard wa HP, Wozniak wa Apple, Larry Ellison wa Oracle etc.

Toyota ni innovators wakubwa sana kwenye Manufacturing na quality control.

Sony ni innovators wakubwa kwenye electronics.

Kuna wahindi ni innovators wakubwa kwenye Software hasa outsourcing.

Hizi nchi nyingine naona hakuna ile tabia ya kumpa mtu mmoja credit yote, Marekani ndo wanalipenda sana hilo.

- ACHENI USHABIKI,
- TOYOTA NDO MGUNDUZI WA MAGARI? WAO NDO WA KWANZA KUTENGENEZA MAGARI HAPA DUNIANI?
- Taja hao wahindi ni kipi kipya walicho kianzisha hapa duniani, usilete mambo ya kukopi na kupest hapa.
- Soma historia ya DELL usikulupuke kuandika tu, Niambie ni kampuni gani unayo ifahamu wewe iliyo leta mapinduzi ya komputa duniani, tupe vivid example kabisa.
- Mkuu wewe si dhani kama unailewa Mcdornad vizuri, soma historia yao vizuri.

mkuu tofautisha kati ya inovation, invesion na adaption.

- SIKATAI KWAMBA TOYOTA NI KAMPUNI KUBWA SANA YA MAGARI, BUTI NA SI HAO TU KUNA WAKINA Generlmotors, but TOYOTA SIO WALIO WALIO GUNDUA MAGARI AU KUWA KAMPUNI YA KWANZA KUANZA KUTENGENEZA MAGARI.
- NA TOFAUTI NA MCDORDAS NIAMBIE NI MGAHAWA UPI UNAO UFAHAMU ULIO ANZISHA FAST FOOD NA TOA NA DATA KABISA NA SI POROJO.

- MARK YEYE ANAINGIA HAPA KUTOKANA NA KULETA MAPINDUZI MAKUBWA SANA KATIKA SOCIAL NETWORK HAPA DUNIANI, HAO GOOGLE WALIKUWEPO SAWA BUT SI KAMA FACEBOOK.
 
hii ni list ya wamarekani tu,kuna vichwa vingi sana katika nchi zingine vilivyofanya mambo makubwa zaidi ya hawa jamaa.
Hii tabia ya kuwa mtu akishapewa credit na media za wamarekani basi huyo anaonekana ni mshindi wa dunia,inaboa sana.

- mkuu toa ya kwako, usipinge tu, na nibora ukasoma kwa undani make kuna maelezo yao hapo chini sijaweka picha pekee.
Hoja hipingwa kwa hoja.
 
- ACHENI USHABIKI,
- TOYOTA NDO MGUNDUZI WA MAGARI? WAO NDO WA KWANZA KUTENGENEZA MAGARI HAPA DUNIANI?
- Taja hao wahindi ni kipi kipya walicho kianzisha hapa duniani, usilete mambo ya kukopi na kupest hapa.
- Soma historia ya DELL usikulupuke kuandika tu, Niambie ni kampuni gani unayo ifahamu wewe iliyo leta mapinduzi ya komputa duniani, tupe vivid example kabisa.
- Mkuu wewe si dhani kama unailewa Mcdornad vizuri, soma historia yao vizuri.

mkuu tofautisha kati ya inovation, invesion na adaption.

- SIKATAI KWAMBA TOYOTA NI KAMPUNI KUBWA SANA YA MAGARI, BUTI NA SI HAO TU KUNA WAKINA Generlmotors, but TOYOTA SIO WALIO WALIO GUNDUA MAGARI AU KUWA KAMPUNI YA KWANZA KUANZA KUTENGENEZA MAGARI.
- NA TOFAUTI NA MCDORDAS NIAMBIE NI MGAHAWA UPI UNAO UFAHAMU ULIO ANZISHA FAST FOOD NA TOA NA DATA KABISA NA SI POROJO.

- MARK YEYE ANAINGIA HAPA KUTOKANA NA KULETA MAPINDUZI MAKUBWA SANA KATIKA SOCIAL NETWORK HAPA DUNIANI, HAO GOOGLE WALIKUWEPO SAWA BUT SI KAMA FACEBOOK.

Nadhani haujui maana ya innovation ndo tatizo, innovation sio uvumbuzi, invention ndo uvumbuzi. DELL hawajainvent kompyuta, historia yao nio ya juzi tu wameanza 1985.

Innovation ni kuboresha kitu kwa njia ambayo inakifanya kikubalike zaidi na watu au soko.

Innovation is the creation of better or more effective products, processes, technologies, or ideas that are accepted by markets, governments, and society. Innovation differs from invention in that innovation refers to the use of a new idea or method, whereas invention refers more directly to the creation of the idea or method itself.

Ndo maana DELL ni innovator kwa kuanzisha njia mpya ya kuuza PC na kukamata soko, sio kwa vile amegundua computer.

Same na Apple hawajavumbua MP3 player wala simu za touch screen, ila wali innovate kwenye design yake kuzifanya user friendly zaidi na pia kwenye marketing kuzifanya "sexy".

Mark sio innovator mkubwa sana, basically ametengeneza MySpace au Friendster ila imekuwa popular zaidi kuna innovations fulani ndani ya Fb lakini. Mark hajainvent Social Networking sites kwa kifupi zilekuwepo way before.
 
hapa kuna watu hawajui ila wanataka kuonekana wanajua matokeo yake wanaongea PUMBA
wanajijua.............
 
Mbona hawamtaji kijogoo wa mifweza Carlos Slim Helu au kwa vile ni mmexicali? Mbona hawanitaji hata mimi? Guys, dunia si Marekani.
 
raha wanajipa wenyewe...!! kama sisi waafrika especially watanzania hatuna hurka ya kusifiana, kusapotiana,kuheshimiana,kusaidiana na kukubaliana watawezaje kututaja sisi???...kama tumegundua hilo tufanye mabadiliko, mtoto hajifunzi tabia za jirani wakati anaishi na wazazi wake, hata sisi tunao wengi kwa level yetu ...nitashukuru mkinipa list ya watu 100 (top entrepreneurs) in Tanzania.
 
Tatizo linakuja hapa,
Wengi mitaji yao ni ya kimagumashi kiasi kwamba wanakosa sifa hiyo muhimu. Wamekwapua,wamesaini mikataba Kimangungo, 10%, wamekaba etc. Napendekeza kama kuna mtu atatajwa basi walau tujue hata alianzaje hadi kuwa mfano wa kuigwa.
 
Wengi mitaji yao ni ya kimagumashi kiasi kwamba wanakosa sifa hiyo muhimu. Wamekwapua,wamesaini mikataba Kimangungo, 10%, wamekaba etc. Napendekeza kama kuna mtu atatajwa basi walau tujue hata alianzaje hadi kuwa mfano wa kuigwa.[/QUOTE]

Nakuunga mkono kaka Malila...naomba jaribu kupitia uzi mmoja niliwahi kutuma hivi majuzi unaitwa Jf Best of the Best 2011 utaelewa ninachomaanisha...kifupi watanzania wengi ni waongo, fake, wezi, matapeli, wanabahatisha, wachawi na sifa zinazofanana na hizo.. tunaweza kuibadili jamii hii kama tukiamua kama tulivyoamua kuanzisha JF, kuwa na wanachama na kushea important issues.. tunaweza kuwa na magazine yetu kwa ajili ya wana JF na wengine watakaokuwa interested yenye issus muhimu kama forbes kuwatia changamoto, kuelimisha, kufundisha nk..from zea tunaweza kutangaza watu wetu kama real models ambao tunaweza kujivunia kuwaita best entreprenuers of the year ( hata kama watakuwa ktk level ya chini) lakini wana sifa na vigezo vinavyokubalika.
 
Tunaweza kufanya hivyo bila kujali mitaji yetu midogo tuliyo nayo. Kwa mfano, huyu x anamiliki shamba la miwa pale Korogwe, mwenzetu ameanza lini,kwa mtaji kiasi gani na amewezaje kulifikia soko. Vikwazo gani anapata/alipata na nini plan zake za siku za usoni.

Kipo kijarida kimoja nilisoma, dada mmoja wilayani Hai amefanikiwa kuwa na shamba la kuku zuri kutokana na zawadi ya kuku mtetea aliyopewa na bibi yake. Huyu ni mfano mzuri, kwa sababu mtaji wake unajulikana ulikotoka,alivyouendeleza na kuupanua hadi kufikia kiwango hicho, na maelezo yako wazi ya jinsi alivyopita hadi alipo. Je watu wetu tunaowasifia kama wajasiriamali wako hivyo?
 
Back
Top Bottom