Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 1,914
- 6,017
Kikosi cha England ( The three lions ) kilichoshiriki Euro 2004 nchini Ureno, kikiwa na mastaa ambao waliunda sehemu ya kizazi cha dhahabu cha Waingereza kuanzia mwaka 2004 mpaka 2012. Ni wachezaji ambao walikuwa na vipaji vya hali juu kwa ngazi ya klabu lakini walishindwa ktwaa taji lolote wakiwa na timu yao ya taifa. Nini kiliwafelisha Waingereza?