The three lions: Kwanini kizazi hiki kimeisha bila kushinda taji?

Waungwana hilo hawalioni kabisa yenyewe wanatuhukumu kwa matukio yalopita
Wataamini tu wakati ukifika...

Vyomba vya habari huwa navyo vinachangia sana kuharibu timu, nikikumbuka 2010 Rooney walivyokuwa anapambwa daaaah... Halafu alivyoenda WC akaishia kumbwela tu!
 
Wataamini tu wakati ukifika...

Vyomba vya habari huwa navyo vinachangia sana kuharibu timu, nikikumbuka 2010 Rooney walivyokuwa anapambwa daaaah... Halafu alivyoenda WC akaishia kumbwela tu!
Hapo penye media shida kubwa hiyo namkumbuka Owen wa 1998 anawafunga Argentina ilikuwa khatari sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom