The three lions: Kwanini kizazi hiki kimeisha bila kushinda taji?

Teko Modise

JF-Expert Member
May 20, 2017
1,851
5,860
Kikosi cha England ( The three lions ) kilichoshiriki Euro 2004 nchini Ureno, kikiwa na mastaa ambao waliunda sehemu ya kizazi cha dhahabu cha Waingereza kuanzia mwaka 2004 mpaka 2012. Ni wachezaji ambao walikuwa na vipaji vya hali juu kwa ngazi ya klabu lakini walishindwa ktwaa taji lolote wakiwa na timu yao ya taifa. Nini kiliwafelisha Waingereza?
2871468.main_image.jpg
 
England haijawahi kuwa na wachezaji kama taofa, ni porojo tu kama mpira wa bongo!
 
Hiko kilikuwa ni kikosi kzuri sana. Lakini hawakuwa to cocha mzuri kama Bobby Robson, Sven- GoranEriksson
was very average coach. Kama Mourinho or Pep Guardiola angekuwa the boss they would gone very far and achieve great things.
 
Hii ndio timu ya Taifa ukiachilia ya Tanzania ndio ninayo ishabikia kiukweli huwa nakosa la kuandika ukitizama hata kile kilichokuja south Africa kilikuwa kikosi kizuri tu pale kati lampard gerard rooney terry Cole yaani unaona kabisa kinaweza kuchagama na timu na kupata matokeo lakini wapi
 
Worry out brother! Kuna bahati iko mbele inakuja. Tuko pep kwenye EPL!

Unakumbuka 2010 Pep alipokuwa barca na barca kuchukua ubingwa Spain aliliitwa kule bondeni, na hata 2014 alipokuwa na Bayern we saw the same.

Sasa hata sasa hivi City akichukua ubingwa tusibiri neema ikija England....!!!
 
Lakini sio kila siku ni Ijumaa
 
Worry out brother! Kuna bahati iko mbele inakuja. Tuko pep kwenye EPL!

Unakumbuka 2010 Pep alipokuwa barca na barca kuchukua ubingwa Spain aliliitwa kule bondeni, na hata 2014 alipokuwa na Bayern we saw the same.

Sasa hata sasa hivi City akichukua ubingwa tusibiri neema ikija England....!!!
Na iwe hivyo kiukweli huwa sipapasi (mdomo )vidole kuiongelea the three lions ndio mahaba yangu yaliyo na kipendacho roho unajua tena.
 
Hii ndio timu ya Taifa ukiachilia ya Tanzania ndio ninayo ishabikia kiukweli huwa nakosa la kuandika ukitizama hata kile kilichokuja south Africa kilikuwa kikosi kizuri tu pale kati lampard gerard rooney terry Cole yaani unaona kabisa kinaweza kuchagama na timu na kupata matokeo lakini wapi

Wakati huo huo angalia hapa kikosi cha Germany kilichowatoa England huko south Africa.

01 Neuer
03 Friedrich
16 Lahm Captain
17 Mertesacker
20 Boateng
06 Khedira
07 Schweinsteiger
08 Ozil (Kiessling, 83)
10 Podolski
11 Klose (Gomez, 72)
13 Muller (Trochowski, 72)
 
Kikosi cha England ( The three lions ) kilichoshiriki Euro 2004 nchini Ureno, kikiwa na mastaa ambao waliunda sehemu ya kizazi cha dhahabu cha Waingereza kuanzia mwaka 2004 mpaka 2012. Ni wachezaji ambao walikuwa na vipaji vya hali juu kwa ngazi ya klabu lakini walishindwa ktwaa taji lolote wakiwa na timu yao ya taifa. Nini kiliwafelisha Waingereza?
2871468.main_image.jpg

Unaweza ku'mdefine' vp mchezaji mwenye kipaji?!
Kwanini unafikiri ni kizazi cha'dhahabu' cha waingereza na sio propaganda zao kutaka kutuaminisha kuwa wao ndo wenye wachezaji bora?!
 
Wakati huo huo angalia hapa kikosi cha Germany kilichowatoa England huko south Africa.

01 Neuer
03 Friedrich
16 Lahm Captain
17 Mertesacker
20 Boateng
06 Khedira
07 Schweinsteiger
08 Ozil (Kiessling, 83)
10 Podolski
11 Klose (Gomez, 72)
13 Muller (Trochowski, 72)
England timu yao ya vijana ni tishio sana ulaya na dunia nzima kwa ujumla! Na ndio watakao kuja kutawala mpira miaka miwili ijayo!!
 
Hiyo sahau , fuatilia vizuri history ya mjerumani , angalia kikosi chao kilichobeba conf cup wakiwapiga chile ya kina sanchez final. Angalia wafaransa pia kina mbape , dembele pogba wote bado wadogo wale . England hana chake mkuu
 
Unaweza ku'mdefine' vp mchezaji mwenye kipaji?!
Kwanini unafikiri ni kizazi cha'dhahabu' cha waingereza na sio propaganda zao kutaka kutuaminisha kuwa wao ndo wenye wachezaji bora?!
Scholes, Lampard, Gerrard, Terry, na wengineo walikuwa na uwezo mkubwa na katika ubora wao wangeweza kucheza kwenye klabu yoyote ile Kubwa duniani
 
Hiyo sahau , fuatilia vizuri history ya mjerumani , angalia kikosi chao kilichobeba conf cup wakiwapiga chile ya kina sanchez final. Angalia wafaransa pia kina mbape , dembele pogba wote bado wadogo wale . England hana chake mkuu
upo sahihi
 
Kuwa na uwezo mkubwa ndo maana halisi ya'kipaji’? Na je vipi wale ambao wanauwezo wa katikati unawahesabu kama wasio na 'kipaji'?!

Nafikiri bado hujalijibu swali langu.
 
Ubishi ni kipaji chako.
 
Hiyo sahau , fuatilia vizuri history ya mjerumani , angalia kikosi chao kilichobeba conf cup wakiwapiga chile ya kina sanchez final. Angalia wafaransa pia kina mbape , dembele pogba wote bado wadogo wale . England hana chake mkuu
Hata Spain pia wana timu nzuri sana ya vijana tena pengine wao wana talents Kali kuliko hao ujerumani lakini nimewataja England kuwa wao ndio timu tishio hapo baadae! Kwanini?

Nakuja kwenye sababu yako, umetumia kigezo cha kuchukua mataji kuwa exaggerate ujerumani, namimi nakwambia England U-20 walimpiga huyo ujeruman 3-0 kwenye nusu fainali ya world cup U-20 na wakaenda kuchukua ubingwa! na hivi wiki iliyopita wamempiga Spain fainali 5-2 kwenye michuano ya World cup U-17!

Sasa hao ujerumani pamoja na kuwa wana vizazi vizuri hawawezi kusumbua hapo baadae!
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom