Device yako ni ipi na pia unatumia web au App??Kwanini nikifungua videos jf hazitoi sauti? what the heck is going on here fill me in......👂
Nadhani hii ni nature kwa sababu ya bond kati ya mama na mtoto anapokua tumboniKuna wengine hawajajaaliwa upande huo wanapambania kwingine walikojaaliwa
Pole jamani, kifupi tunaongelea changamoto za millennials hasa wanawake katika kubalance 'uzamani' na 'usasa' maana wamejikuta wapo katikati. Uzamani unawadai lakini pia wanatakiwa kuendana na hali ya ulimwengu wa sasa kiuchumi, kijamii n.kKwanini nikifungua videos jf hazitoi sauti? what the heck is going on here fill me in......👂
Natumia simu samsung, webDevice yako ni ipi na pia unatumia web au App??
Kuna mambo hatukuwahi malizanaMbona unaguna
Na pia unatumia chrome...??Natumia simu samsung, web
Nimekuelewa vema mkuuHujanielewa, namaanisha kuna wengine hawajajaaliwa kuwa wazazi