Anaona sana ila anatambua nafasi yako.....
Yapo maeneo yanayohitaji elimu ya unajimu, lakini ktk eneo hili wala bainokola, unajimu hauna hitaji .
Mambo yako wazi, tena juujuu tu!
Endelea kujidanganya! Ilhali hujijui unavinjaria kunako maguu 18! Afe kipa, afe kepteni , afe refa , mchezo hau'ahirishwi .
Chezea kushare wewe,nani atakubali,usinitaftie kunasana bure
coz huyo bi dada usikute kakuwekea tego ndio maana hana wasi!
Eeeeeeh?makubwa,unataka ukamgegedee nani my wife wake?
kugandana kwema mi ushahidi staki
Ongea taratibu shem wangu ni mnoko, na ametega maskio mbaya!
Yapi?
Kopi: Mamndenyi ( i told you)
Alaaaaaa...... poor Ruttashobolwa.....ilianzia kwa Madame B and now.....