the secretary

usishtuke mpendwa! Haumsaidii kupiga deki bali ni mambo ya jukwaa la chini!

ndo nakwambia hata ingekuwa jukwaa la katikati siwezi kuwa msaidizi wa mazahausi!!!
 
mambo ya strowberry lips!!! najipa raha mwenyewe....why nisubiri za kugawiwa kwa mafungu!!! aku babu weee!!!
shenzi zako na robo!!!

Straberry lips my foot....unafanya nanii huko na kusingizia kilaji....kama huwezi si uache...
 
Straberry lips my foot....unafanya nanii huko na kusingizia kilaji....kama huwezi si uache...

ulitaka nijikunyate wakati wewe wajipa rahaa?!?!
hujui kuwa kuna vitu lazima tu vinakuwa reciprocated?!?!
dont you know why i split the cndms packs in two?!?!?
muulize marejesho atakueleza vizuri hapa
 
Last edited by a moderator:
ulitaka nijikunyate wakati wewe wajipa rahaa?!?!
hujui kuwa kuna vitu lazima tu vinakuwa reciprocated?!?!
dont you know why i split the cndms packs in two?!?!?
muulize marejesho atakueleza vizuri hapa

Muache marejesho wangu maana ukiwa kwenye dhambi zako yeye hajui...
Do you know why i didnt use my pack?
 
Last edited by a moderator:
Saaafeeeeey!
Biya hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!

Kunywa biya kwa wingi Remmy apate mushahara!


Ha ha ha haaa
Ninarahaje....
Bila kodi no mshahara ati. Serikali inahali mbaya.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…