The Secretary yako wapi maneno yako kwa Bishanga?

Balaa gani tena hilo kwa mushaija? Lol
Kipipi inawezekana ukawa nayo dawa......si unajua na wewe enzi zako ulikuwa si haba...hapa nil baada ya kuutwika enzi zako
drunk-people-7-400x332.jpg
 
Last edited by a moderator:
Mkuu wa kituo cha mabatini ndo aliyekupindua yaani anammiliki huyu mkeo wa mtandaoni kwasasa,
hivi utapewa kweli rb.

Nw wewe unasikiliza majungu ya Platy?
Huoni kachukua picha za kina kimbweka na asprin ndo kazibandika hapa eti ni bishanga,ngoja nikamchukulie RB polisi mabatini.
 
Back
Top Bottom