nimekupata vyema. Sasa kuipata hiyo lugha the universe understands ndo shida inapo anzia. Wenye siri za kufungua haya yote wamekaa kimyaa kama hawajui kitu vile..
mkuu...the language that the universe speaks is through symbols asigned into numbers..
yale mapembe,sanamu,misalaba zinaitwa Obelisk na zinafanya au kuifanya subconcious awareness yako kusynchronize with the universal energy grid( high energy flow system) ambayo ndo kila kitu..
The gate ways to higher centers zilifichwa katika fibonacci sequence ,Golden ratio,phi( pai),newtonian Calculus pamoja na sacred geometry..
Kule shule ya msingi tunafundishwa maumbo lakini hawayatolei ufafanuzi.
yakitolewa ufafanuzi mbona kila mtu atakuwa genius wa kutupa na umaskini hautakuwepo..
Kuna code tata sana kwenye hayo maumbo mkuu...narudia tena ni noma acha kabsaa...
Nikola tesla na wenzake waliuawa kwa sababu walitaka wauambie ulimwengu kuwa there is a core where all knowledge and power rest and we have to synchronize with the universal patterns to unlock the reality and truth..
..wenye dunia hii hawataki kuweka mambo sawa..wanatuendesha kama magari mabovu..
unajua kwanini walileta system ya kuweka misalaba kwenye makaburi ya watu waliokufa( fariki)..??
unahisi ni representation ya yesu kristo..??
sio kweli...
When human being dies, his soul is used to open the higher gate ways from higher world where knowlege rests..
unajua kwanini Vatcan ilikua na sera ya kuwakusanya watu wote waliokufa sehemu moja halafu misalaba iwe imesimikwa kwa kusimama..!! Do you know the indications??
unajua kwanini ..??
naomba nisiharibu udhi ngoja mwenye udhi aendelee kutuelemisha..