senator
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 1,924
- 66
Zipo hata balozi wetu Kallaghe yumo ndani ya mjengo!Mbn sion ngozi nyeusi hata kwa bahat mbaya?, au kadi za mwaliko kwa kina sie n kwenye mnuso baadae?
Zipo hata balozi wetu Kallaghe yumo ndani ya mjengo!Mbn sion ngozi nyeusi hata kwa bahat mbaya?, au kadi za mwaliko kwa kina sie n kwenye mnuso baadae?
Yeah maana anasafiri na walinzi 250 bado wapambe wengine wengine, magari and whatnot...Hata mimi nilihisi hivyo maana ulinzi wa POTUS hauna wa kufananisha naye
Walitoa press release kuwa hawakumualika Obama kwasababu gharama ya harusi ingelikuwa kubwa maana London yote ingelijaa wazee wa miwani meusi.Hata mimi nilihisi hivyo maana ulinzi wa POTUS hauna wa kufananisha naye
Kikwete hakualikwa?Zipo hata balozi wetu Kallaghe yumo ndani ya mjengo!
Mbn sion ngozi nyeusi hata kwa bahat mbaya?, au kadi za mwaliko kwa kina sie n kwenye mnuso baadae?
Zipo hata balozi wetu Kallaghe yumo ndani ya mjengo!
Yeah maana anasafiri na walinzi 250 bado wapambe wengine wengine, magari and whatnot...
Nadhani designer wa wedding dress ni Sarah Burton ila ndoa siku ya kwanza tu. Baada ya hapo ustahamilivu na upendo na uaminifu ndio vitadumisha ndoa otherwise infidelity, biggetry, nagging blahblah blah tabu tupu hata hivyo ndio raha za ndoa hizo .
Nilimuona balozi wa Tanzania UK akitinga church...
Mwenyewe nimeuliza handsome boy wetu mbona hayupo...!Sijamuona Jakaya Mrisho Kikwete!
Sijamuona Jakaya Mrisho Kikwete!
Hahahah, nimecheka sana baada ya kusoma hii post lol... Nadhani amekuelewa sasa!I stand to be corrected..hiyo ni collection ya McQueen, designed by Sarah!!..McQueen is the brand!!
Kikwete hakualikwa?
Mwenyewe nimeuliza handsome boy wetu mbona hayupo...!
Eti ehh! cheers then...
Belinda nawewe ni katika moja ya mliokuwa mkiililia hiyo nafasi???Yeah, he looked fantastic ila bila wife katinga..Sijui why!!
Cheers!!..Prince William gone too soon)) ha ha