The Royal Wedding: Prince William & Kate Middleton


attachment.php


Cathedral Glamour!​
 
Zipo hata balozi wetu Kallaghe yumo ndani ya mjengo!

May be..ila tangu nianze kufwatilia sijaona hata ngozi nyeeusi kwa bahat mbaya..au wata wa shooting wanatuhujumu?...lol!

Hii ngoma tamu badae kwenye kupiga seke, ningekuwa mualikwa leo ningezima nakwambia,ni kutupia vyombo kwenda mbele...
 
Nadhani designer wa wedding dress ni Sarah Burton ila ndoa siku ya kwanza tu. Baada ya hapo ustahamilivu na upendo na uaminifu ndio vitadumisha ndoa otherwise infidelity, biggetry, nagging blahblah blah tabu tupu hata hivyo ndio raha za ndoa hizo .

I stand to be corrected..hiyo ni collection ya McQueen, designed by Sarah!!..McQueen is the brand!!
 
Back
Top Bottom