Baba_Enock
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 7,076
- 2,445
kuna dada mmoja yuko upande wa wanakwaya anaimba huku analia,....( nina maswali mengi kweli juu ya kulai kwake)
Mpango wa Nje wa Prince W..
kuna dada mmoja yuko upande wa wanakwaya anaimba huku analia,....( nina maswali mengi kweli juu ya kulai kwake)
Natabiri baada ya miaka kadhaa kutakuwa na infidelity.......
Wanadai kumpa ulinzi ilikuwa issue, so unajua jaluo akisafiri anakwenda na kijiji kizima..Mtu mzima Obama naona hakupewa mwaliko.....
Nimesikitika hakuna hata gari za farasi!
Hiyo imeachwa special kwa ajili ya balcony ya buckingham palace......mbona hata kiss hakuna, au ndio kiroyal royal.
Kate ni fit jamani! ila anachefua na huo wembamba! aarghh! too skinny!
Nadhani designer wa wedding dress ni Sarah Burton ila ndoa siku ya kwanza tu. Baada ya hapo ustahamilivu na upendo na uaminifu ndio vitadumisha ndoa otherwise infidelity, biggetry, nagging blahblah blah tabu tupu hata hivyo ndio raha za ndoa hizo .McQueen dress, nice one kwakweli!!..Catherine looks stunning!!
Wanadai kumpa ulinzi ilikuwa issue, so unajua jaluo akisafiri anakwenda na kijiji kizima..
<img src="https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=28591&d=1304072287" border="0" alt="" /></p>
<p> </p>
<p><font face="Lucida Console"><font size="3"><b>Bi Harusi ana chuchu nzuri</b></font></font>
Sarah Burton ni designer wa Alexander McQueen house..!Nadhani designer wa wedding dress ni Sarah Burton ila ndoa siku ya kwanza tu. Baada ya hapo ustahamilivu na upendo na uaminifu ndio vitadumisha ndoa otherwise infidelity, biggetry, nagging blahblah blah tabu tupu hata hivyo ndio raha za ndoa hizo .