Baada ya formal party, queen ataondoka na kuwaachia palace wajukuu wake, Prince Harry atafanya party ya vijana tuu.watu 650 ndo wamealikwa ukumbini na sherehe zitaisha arasili ya leo...hakuna usiku wala nini
How do you like your grapes...? Watu bilioni 2 wameangalia hii kitu.What a waste, hype, hype ,hype, are they the queen and kings of the world? The british have forgoten that they are no longer super powers!!
Baa ndio na kumbi za starehe ndio zimeruhusiwa ku-operate hadi late night lolwatu 650 ndo wamealikwa ukumbini na sherehe zitaisha arasili ya leo...hakuna usiku wala nini
Yah!! Nakumbuka waliomba ruhusa sasa hapo Queen anasikia dogo ana date na mtu kama Amber RoseQueen asingetoa ruhusa ya kumuoa lol, si unajua walimuomba ruhusa ya kufunga ndoa.
HahahahaSour grapes.
hii kitu hadi wiki moja iishe aiseenyani ngabu bana...utabiti wa hali ya hewa utafuata baada hii kitu
Hahah naona commentator wa ITV (UK) amepiga dongo hapa anasema William and Kate wako well behaved maana huwasikii wakigongana club na kina Paris Hilton.Yah!! Nakumbuka waliomba ruhusa sasa hapo Queen anasikia dogo ana date na mtu kama Amber Rose
Lol!!! Hilo dongo, hapo sasa tunasubiri siku Harry nae aje aoe naona mabinti sasa watakuwa wanajiweka sawa kuona zali litamuangukia naniHahah naona commentator wa ITV (UK) amepiga dongo hapa anasema William and Kate wako well behaved maana huwasikii wakigongana club na kina Paris Hilton.
Sijui ndio miondoko yao au sijui wanachechemea au ndio wako trained hivyo lolMiondoko ya hao farasi inanifurahisha sana.
Hiyo circleMzee Virgin aka Sir Richard Branson kafaidi na hii harusi....