JF, nimeamua kuuliza hili swali baada ya kuona threads kadhaa za siasa hapa zikuzungumzia habari ya Uchaguzi 2015, au Membe anataka Urais 2015. Ni vizuri kuanza kuzungumzia mambo ya namna hiyo mapema ili tuweze kujua kama wenye nchi ni nani tunayemtaka kuwa Kiongozi wetu, kura si ni yetu bwana!
Lakini kinachonishangaza ni kwamba tunaongelea 2015 kama vile tumemaliza kupiga kura 2010 na Rais tunaye tayari. Hili swala sijui mnalionaje wenzangu lakini isije ikafika 2010 hapa halafu tukaanza kujiuliza kama wenzetu wa Iran "WHERE IS MY VOTE?". Je tunaye Rais tayari kwa 2010-2015? Tuna uhakika kiongozi wetu huyu ambaye tumemchagua anafanya yale tuliyomtuma afanye?
Kazi kwetu!
Chama kindine kinaweza kushinda uchaguzi lakini ni vigumu sana kuishinda CCM
Kinachotatiza ni muelekeo wa vyombo vya Dola na dhana ya kuheshimu maadili ya utawala bora.Mfano mmojawapo,ni Iran vyombo vya dola vina behave kama mali binafsi ya Ahmadinejad badala ya kutumikia wananchi.Tatizo lingine ni Tume ya Uchaguzi.Kikubwa kuliko vyote ni uelewa wa haki zao za kiraia wapiga kura wa Tanzania.Kwanini ni vigumu kuishinda CCM?.
Ina kinga gani mkuu?
Colleagues,
I want to use Jamii Forum to solicit voluntary ideas from you on what initiatives you would have introduced if you were running for office. I intend to run for Parliament in the coming general elections. Even though you are all from different constituencies, most of our grievances are not unique. Tanzanians in 2009 still cannot afford basic livelihood necessities. On the principles of checks and balances (as provided by our Constitution), parliament's role in checking the executive branch cannot be overstated and it is my opinion that our parliament is still a "rubber stamp" of the executive rather than an equal branch of government.
Newt Gingrich, the former US Speaker of the House engineered what was labeled in 1993 "the Reagan revolution" and I think it is about time we have "the Nyerere revolution" and take back our country from leaders who do not have love for country, but love for self.
I intend to run for the Singida North Constituency through my party - Chama Cha Mapinduzi.
Thank you.
Sungi
Ndugu Dilunga,
Asante kwa maoni yako. Ebu nisubiri maoni ya wengine pia. Mimi nafikiri kiongozi anatakiwa kusikiliza na sio kujifanya mjuaji ... hilo ndio kosa la baadhi ya viongozi wetu.