ukiachana na mambo anayoyataka shibuda (uongozi)..lkn ukweli ni kwamba hicho chama kina wenyewe wengine ni wasindikizaji tuu, toka tumezaliwa ni kingune.. kikwete,, sijui malechela sijui mkapa , mramba ndo kabsaaaaaaaa.....kwani hakuna watu wengine??????
1. Vyama vyetu vya siasa, vyote bongo, hakuna sheria au katiba inayokataza viongozi wake kutogombea uongozi baada ya muda fulani, ndio maana kwa muda mrefu sasa viongozi wake wamekua ni wale wale, kuanzia CCM, Chadema, mpaka CUF.
2. Shibuda:- A longtime friend, ninamkumbuka sana enzi zile bongo imevaa jeans, yeye alikuwa akipiga masanga tu pale Kilimanjaro Hotel, kila siku tulikuwa tunajiuliza anapata wapi pesa maana hakuonekana kuwa anafanya kazi mahali, ndipo baadaye tukamshitukia kua ni mtu wa serikali.
- A good man, lakini nina wasi wasi sana na skills zake kiuongozi, a very outspoken man lakini siku zote ukisoma maneno yake huwa hayana substance, kwa muda mrefu sana sasa amekua akililia nafasi ya Wazazi hata CCM huwa hawaelewi the mystery ya Shibuda na Wazazi, I mean kuna wakati aligombea na Idd Simba, aliposhindwa akaleta mtafaruku mkubwa sana hata CCM ya Mkapa walitaka kumfukuza chama, lakini akaokolewa na Chenge rafiki wa Mkapa,
- Kwenye uchaguzi wa rais 2005, again akaleta mtafaruku mkubwa sana Dodoma, kwa kujaribu kuwalazimisha wajumbe wa kaskazini wampigie mgombea wake tu, again CCM wakamuonya sana na ni kwa bahati bahati sana akaweza kupata ubunge, akadhani kwamba ukorofi wake utamsaidia kupata uwaziri,
Mimi binafsi zamani nilikuwa ninamuaminia sana kwamba huenda akawa kiongozi makini, lakini nilibahatika kuyaona mafaili ya malalamiko yake against Idd Simba, ndio akanikatisha tamaa kuwa ni bomu la kutupa, kwa kweli Shibuda ni mkorofi mno na hasa akiweka masanga inakwua patashika sana, he does not stand for anything serious kwa wananchi au taifa, yeye ni yeye tu! Amekwua bungeni sasa muda gani je amewahi kusema nini cha maana kwa wananchi au taifa? Ana bahati kubwa sana kwamba anatokea mikoa ya kaskazini, ambako kuna some heavyweights wa CCM na serikali, othersiwe angetakiwa awe amefukuzwa chama siku nyingi sana, ni mkorofi na ni mtovu wa nidhamu kwa viongozi wake wakuu na chama pia, ingawa personally ni a good man.