england wataishia kwenye makundi
No!Wataishia robo final
england wataishia kwenye makundi
Naiona holland group B hapo, japo inakosaga bahati, ila kila la kheri kwao.
Spain sidhani kama wataweza kutetea ubingwa wao, waholanzi nawapa nafasi ya kuwa mabingwa.inabahati mbaya sana kupangwa na Spain, hii timu ni noma japokuwa siipendi kabisa.
Group G ndio limesimama aisee, go go Ghana
Spain sidhani kama wataweza kutetea ubingwa wao, waholanzi nawapa nafasi ya kuwa mabingwa.
Kama zikitolewa mapema timu zangu za Africa (zote zangu) naamia Belgium. Naamini mwaka huu niwetu wa Africa kinyume na hapo ni Belgium.
Kama naiona Selcao a.k.a Wazee wa Samba wakichukua Ndoo nyumbani kama lile la Mabara,Foza Brazil.