The Road to The 2014 FIFA World Cup - Brazil

The Road to The 2014 FIFA World Cup - Brazil

Status
Not open for further replies.
Makundi

th

naona haya ni yale makundi ya timu za bara la Ulaya mkuu
 
12155_819066704775845_525640261_n.jpg


13 July 2014. The venue, for the 20th FIFA World Cup final will be the world-famous Estadio do Maracana. Here it is, in all its glory.
 
32 teams, 64 matches. The most iconic trophy in world sport. There can be only ONE winner.

1920624_819066668109182_72641343_n.jpg
 
Wakuu habari zenu jamani hapa twataka kujua katika fainali zijazo za kombe la dunia huko brazil huku kukiwa na jumla ya timu 32 zote zikiwania kombe 1. Kiukweli siyo timu zote zitannyesha competition ya hali juu la hasha kuna zingne zitakuwa kama wasindikizaji. Kwa afrika tumefanikiwa kutoa timu 5 kwa ujumla wake na mabara mengne nayo yametoa timu zao. Lakini ukija swala kubwa la viwanja kule brazil nalo limegeuka kuwa kero lakini twajua kuwa kero ya kiwanja siyo ushndi kwa timu nina imani kuwa mashndano haya yatakuwa bora mpaka mwisho. Na kwa swala zima la kuangalia mechi usiku hiyo si shida sana, wadau nyie mnaionaje fainali hi ya mwaka huu je itakua bora au bora tu mnakalibishwa kuchangia hapa kwa yale myaonayo.........
 
Hakika mchuano hii itakuwa na msisimko mkubwa kama brazil watatumia ueenyeji wake vizuri basi atachukua kombe.
 
Ni mwaka wa Africa kufanya maajabu tunaweza kufika hatua kubwa sana katika fainali hz Brazil,
 
Ni mwaka wa Africa kufanya maajabu tunaweza kufika hatua kubwa sana katika fainali hz Brazil,

Nafasi ya pekee tuliyoipata waAfrika ya kuonyesha maajabu ilikuwa ni 2010 South Africa.
 
Jamani hli kombe la kopa cabana ebu onen kikosi kile cha federation cup pale ceaser huku dan alves kule fernadinho huku hulk kushoto oscar kdogo jo kdgo neymar mbele kabxa unamalza na fred mzki mgumu jaman
 
fifa_world_cup_2014_wallpaper1.jpg


Mambo yanaendelea kuiva taratibu tayari kuelekea Brazil from 12 June to 13 July 2014. Hiyo itakuwa mara ya pili kwa Brazil kuandaa Fainali za Kombe la Dunia. Jumla ya nchi 32 zitashiriki. Jumla ya mechi 64 zitachezwa katika majiji 12 ya Brazil. Pia itakuwa ni mara ya kwa "goal-line technology" kuanza kutumika kwenye Fainali za Kombe la Dunia. Spain watakuwa wanatetea kombe hilo baada ya kufunga Holland 1-0 katika Fainali zilizopita.
 
Thanks EMT kwa thread hii. Tutakuwa pamoja hadi mwisho wa mashindano.
 
Last edited by a moderator:
Brazil have named its provisional World Cup squad. Defender David Luiz and midfielders Oscar, Ramires and Willian are named in Luiz Felipe Scolari's 23-man squad, along with Manchester City's Fernandinho and Tottenham's Paulinho.

There was no place for Liverpool midfielders Philippe Coutinho and Lucas Leiva despite their important roles in their club's Premier League title bid. AC Milan duo Kaka and Robinho are also big-name absentees. Midfielder Kaka, 32, had been hopeful of playing in his fourth World Cup. Scolari was expected to select Chelsea's Brazilian contingent while Fernandinho is also in the squad after an impressive debut season in the Premier League with City.

Goalkeepers: Julio Cesar (Toronto FC, on loan from QPR), Jefferson (Botafogo), Victor (Atletico Mineiro)

Defenders: Marcelo (Real Madrid), Daniel Alves (Barcelona), Maicon (AS Roma), Maxwell and Thiago Silva (both Paris St-Germain), David Luiz (Chelsea), Dante (Bayern Munich), Henrique (Napoli).

Midfielders: Paulinho (Tottenham Hotspur), Ramires (Chelsea), Willian (Chelsea), Oscar (Chelsea), Hernanes (Inter Milan), Luiz Gustavo (Wolfsburg), Fernandinho (Manchester City),

Forwards: Bernard (Shakhtar Donetsk), Neymar (Barcelona), Fred (Fluminense), Jo (Atletico Mineiro), Hulk (Zenit St Petersburg).

http://www.bbc.co.uk/sport/0/football/27312691
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom