Mi ndo maana spendi mpira ..mbona man utd hawajaipanga kwenye haya makundi....kwa nini lakini?
Kundi G
Germany
Ghana
Portugal
USA
It's kinda battle between Boateng brothers
dah German group ni baya na uruguay group ni baya, the rest si ya kutisha
Hhahaaaa! Hivi Prince bado atachezea Ghana?
Belgium with their talented players got the easiest group.
Ilikuwa nikualike mkuu ha ha. Kundi la A na G ni ya kifo. Ivory coast wasipopenya hatu hiyo wajilaumu sana. Wamepangwa na 'biringanya'Tatizo England ikitolewa kwenye ground stages Kombe la Dunia halinogi tena.
Kelele zote zitaisha and all English news will be focusing on the Ashes and Wimbledon.
Suarez and Cavani, without forgoing Balotelli and Pirlo, all against England.
Hahaha...
Wanazi wa England nao watajitetea wana Rooney, Gerald...etc
hata hapo kwa kundi la Portugal sijui nani atatoka
kundi D na G ni kizungumkuti.
Ghana-inabidi ikomae
England-tutarajie nini; soka safi kutoka kwa akina Welbeck????