EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,477
- 15,356
Then hii imekuwa msaada mkubwa sana kwa Belgium kwani watatumia nafasi hii kujiweka sawa hasa kiakili ukizingitani wachezaji wake wengi ni chipukizi na hawaja cheza mashindano makubwa.
Lakini wengi tayari wanachezea big clubs.
I don't think it will be a big problem to them.
I am looking forward to this team.