The Road to The 2014 FIFA World Cup - Brazil

The Road to The 2014 FIFA World Cup - Brazil

Status
Not open for further replies.
England World Cup 2014
Squad:
Goalkeepers: Joe Hart
(Manchester City), Fraser
Forster (Celtic), Ben Foster
(West Brom)
Defenders: Glen Johnson
(Liverpool), Phil Jones
(Manchster United), Phil
Jagielka (Everton), Gary
Cahill (Chelsea), Chris Smalling
(Manchester
United), Luke Shaw
(Southampton), Leighton
Baines (Everton)
Midfielders: Steven Gerrard
(Liverpool), Frank
Lampard (Chelsea), Jordan
Henderson (Liverpool),
Ross Barkley (Everton), Jack
Wilshere (Arsenal),
Alex Oxlade-Chamberl ain
(Arsenal), Raheem
Sterling (Liverpool), Adam
Lallana (Southampton),
James Milner (Manchester City)
Forwards: Daniel Sturridge
(Liverpool), Wayne
Rooney (Manchester United),
Danny Welbeck
(Manchester United), Rickie
Lambert
(Southampton)
STAND-BY:
John Ruddy (Norwich City),
John Stones
(Everton), Jon Flanagan
(Liverpool), Tom
Cleverley (Manchester United),
Michael Carrick
(Manchester United), Jermain
Defoe (Toronto),
Andy Carroll (West Ham)

Posible first eleven
4-4-2
1: Joe Hart
2: Glen Johnson
3: Leighton Baines
4: Gary Cahil
5: Phil Jagielka
6: Stevin Gerald (c)
7: Alex-Oxlide
8: Jack Wilshere
9: Daniel Sturidge
10: Wayne Rooney
11: Adam Lallana

dawa yenu Pirlo nyie...
Na mnae mwaka huu na lazima awapake Hina...
 
England nayo timu ya kushabikia, dk 15 za mwazo wanashambulia kama nini ukiwabana hapo mpaka utawaonea huruma!
 
Kazi kweli kweli

[/COLOR]
Kwahiyo unashabikia timu sita mpaka sasa.

[/COLOR]
Kwahiyo huna imani na timu zako?

[/COLOR]
Typical Arsenal Fan{Kushabikia timu nyingi: Arsenal+Liverpool+Chelsea+Man City at the same time}

[/COLOR]
Ndio maana Three Lions Mwaka huu tunamatumaini ya kushangaza Dunia lol

Timu za Afrika wote tunazifuatilia hata wewe ni uzalendo. Navyofuatilia watoto wa Time Square ni sawa na unavyofuatilia 3 Lions. Belgium na Germany ndo timu ninazotumaini kufanya vizuri kutokana na wachezaji wazuri walionao sio kama nawapigia debe kihivyo. Nilishaacha kushangilia kihivyo timu za ulaya na Brazil miaka kibao bora kufuatilia waafrika wenzangu at least nina connection nao. Marekani nawashangilia sababu ya kelele vs England kusema kweli sina mpango nao maana huwa wanachonga kwa kitu kidogo(ki-hype) kama England wanavyochonga. Ni ushangiliaji wa kishingo upande.
 
Nitaishabikia Tanzania vile Ni nchi yangu, ILA kuishabikia uingereza Ni sawa na kuishabikia Tanzania...hawafiki popote aisee!

Fifa World Cup mwaka huu Ni Germany all the way!!
 
[h=1]World Cup 2014: Ricardo Quaresma cut from Portugal squad[/h]
FC Porto winger Ricardo Quaresma has been cut from Portugal's World Cup squad after coach Paulo Bento named his final 23-man selection.
The 30-year-old, who re-joined Porto in January six months after leaving Al Ahli, had not won a cap in almost two years but had been named in the provisional 30-man squad
 
World cup betting zipo wapi nile pesa za bookies. Kina William Hillwanaruhusu walio nje ya UK kuweka mzigo? DonDonald, Pazi
 
rubaman

Hivi timu/nchi gani unahisi inaweza kuchukua kombe?
 
Last edited by a moderator:
Nadhani Germany watachukuwa kombe.

Timu za South America zikoje? sijazifuatilia kwa ukaribu siku za karibuni.

Germany wapo sawa ila kile kitendo walichofanyiwa Bayern na Real Madrid kimenipa mtazamo tofauti {Kumbuka Bayern ina wachezaji wengi kwenye ya timu yao ya taifa}
 
Uki bet in favor kwa Three Lions ni afadhali ucheze karata tatu.

Ha Ha Ha karata tatu na William Hill doto na kulwa

Btw leo three lions under 17 wamechukua ubingwa wa Europe... huwezi amini kwa penalti ... sijawahi kuona wakishinda kwa penalti
 
Timu za South America zikoje? sijazifuatilia kwa ukaribu siku za karibuni.

Germany wapo sawa ila kile kitendo walichofanyiwa Bayern na Real Madrid kimenipa mtazamo tofauti {Kumbuka Bayern ina wachezaji wengi kwenye ya timu yao ya taifa}

Club level na Taifa ni tofauti sidhani kama kitawa affect wajerumani. Isitoshe jamaa wanajuaga kusahihisha makosa yao katika kila next mashindano iwe ni bayern au Taifa. South America hata mimi siwafuatilii kwa karibu lakini naona Argentina wana wachezaji walioiva sema tatizo lao sijui inakuwaga bahati mbaya au ni yale yale ya u-under achieving aka u-flop. Watu wanasema Brazil Brazil kwa maono yangu nadhani timu yao haitishi kama miaka ya nyuma. Brazil ya sasa haina wachezaji nyota duniani kama enzi za 1994-2006, labda hii inaweza kuwapa advantage fulani tusubiri. Brazil watatolewa Second round (kiunazi zaidi msinishambulie) ngoja niwape heshima watatoka robo fainali.
Wewe unaona nani atabeba, na timu gani unayoigopa?
 
Ha Ha Ha karata tatu na William Hill doto na kulwa

Btw leo three lions under 17 wamechukua ubingwa wa Europe... huwezi amini kwa penalti ... sijawahi kuona wakishinda kwa penalti

Hahahaha Hudu la penati limekwisha sio? anyway hilo hudu huwa linawatokea seniors/Olympic sana, wasijidanganye world cup linaweza kuendelea
 
Club level na Taifa ni tofauti sidhani kama kitawa affect wajerumani. Isitoshe jamaa wanajuaga kusahihisha makosa yao katika kila next mashindano iwe ni bayern au Taifa. South America hata mimi siwafuatilii kwa karibu lakini naona Argentina wana wachezaji walioiva sema tatizo lao sijui inakuwaga bahati mbaya au ni yale yale ya u-under achieving aka u-flop. Watu wanasema Brazil Brazil kwa maono yangu nadhani timu yao haitishi kama miaka ya nyuma. Brazil ya sasa haina wachezaji nyota duniani kama enzi za 1994-2006, labda hii inaweza kuwapa advantage fulani tusubiri. Brazil watatolewa Second round (kiunazi zaidi msinishambulie) ngoja niwape heshima watatoka robo fainali.
Wewe unaona nani atabeba, na timu gani unayoigopa?

Kama Brazil wakishindwa kutumia faida ya kuchezea Home, Kombe litakwenda Ulaya{Germany/Spain}, ila si unajua kwenye football chochote kinaweza kutokea {Porto alibeba UCL bila ya kutegemewa}

Red; utapata wapinzani wengi kwa kauli yako hiyo
 
Hahahaha Hudu la penati limekwisha sio? anyway hilo hudu huwa linawatokea seniors/Olympic sana, wasijidanganye world cup linaweza kuendelea

Timu ya wakubwa wanakuwa na kitete wakifika hatua hiyo..... wachezaji wanakuwa hawapendi kwenda kupiga {wanaogopa lawama}
 
Kama Brazil wakishindwa kutumia faida ya kuchezea Home, Kombe litakwenda Ulaya{Germany/Spain}, ila si unajua kwenye football chochote kinaweza kutokea {Porto alibeba UCL bila ya kutegemewa}

Red; utapata wapinzani wengi kwa kauli yako hiyo

Lol Najua wakiamka watanitundika kitanzini kwa kuidharau timu yao. Wabongo wengi wanaihesabu Brazil timu ya nyumbani kuliko Taifa Stars.
Kweli katika mechi za mtoano lolote linaweza kutokea kuna timu dhaifu zimebeba UCL trophy kwa kuzitoa timu kali.
 
Ha Ha Ha ngoja Rais wa TFF aione atoe maoni yake
 
Ha Ha Ha ngoja Rais wa TFF aione atoe maoni yake

LOL unaweza kukuta na yeye ni mnazi wa Brazil na ana jezi ya Neymar. Hivi marais wa vyama vya mipira toka nchi mbali mbali si huwa wanakaribishwa katika Kombe la Dunia kama sikosei kina Ndolanga walikwenda Ufaransa '98 enzi zile au nimekosea?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom