jem_the_great
JF-Expert Member
- Aug 30, 2013
- 289
- 159
Wabrazil hawatabirk mwanangu...na ndomana coach kachagua midfield wenye uwezo wa kuattack na kuscore
kwa hali hii lazma Morinho awe shabiki tu wa BRAZIL
kwahiyo kwa mtazamo wako ubora wa ligi ndio unafanya timu ya TAIFA IWE NZURI? AU ENGLAND WENYE LIGI BORA DUNIANI(MOJA YA LIGI BORA KABISA) MBONA NI MDEBWEDO WAKIFIKA WORLD CUP?? JITAHIDI KUWA ANALYST KABLA KUPOST VITU
unaweza kufananisha makombe ya mbuzi na world cup??
- Courtoisunawe
Hao ni kama kucheza kamari vile maana huwa wanatabia sana ya kujipamba na vyombo vya habari vya kwao wakifika uwanjani hakuna kitu:A S soccer: