unapenda sana utabiri wewe mkuu utafiti?
Hawa bwana; bado mapema lakini, nafikiri ni vizuri kwanza tufurahie mpira kwenye makundi; tutaanza kuwaza bingwa ikifika robo fainali.. 🙂

Bado sio kigezo kaka, mimi natabiri Spain na Germany watacheza fainal....