The Road to The 2014 FIFA World Cup - Brazil

The Road to The 2014 FIFA World Cup - Brazil

Status
Not open for further replies.
NIPANGIE KIKOSI CHA UBELGIJI au unawaogopa?

mwaka huu tutakuwa tunalala saa 1 usiku, kuamka saa 7 kula alaf kuanza kutazama mechi.
Asubuhi kazini..🙂
Come on Germany, let's make this world cup ours! I'd prefer to see Hummels and Boateng at CB with Schweinsteiger and khedira playing cdm with Kroos rotating with Khedira and Ozil for the cdm and #10 spot respectively. Gotze as a false 9 with Reus and Muller on the wings
 
nipangie kikosi cha ubelgiji au unawaogopa?

Mwaka huu tutakuwa tunalala saa 1 usiku, kuamka saa 7 kula alaf kuanza kutazama mechi.
Asubuhi kazini..🙂
ubelgiji wepesi sana kaka, then hawana exposure na experience na world cup! Hii michuano inahitaji squad depth ambayo ubelgiji hawana, hao kina hazard, manywele, lukakau ni vijana wadogo sana katika tasnia ya kombe la dunia
 
Nimeshtushwa na kikosi cha Brazil World cup 2014
kwanini? kati ya wachezaji 23 walioitwa ni wachezaji 3 tuu ndio wanaotokea katika ligi za Brazil, wachezaji hao ni makipa wawili wa resevu na mshambuliaji mmoja!
hivi ni kweli nchi nzima na ligi kuu ya Brazil haina vipaji vya kuchezea World Cup? mbona inaaminika Brazil ni nchi yenye wachezaji mahiri na vipaji kedekede?
Nimeangalia kikosi cha UJERUMANI asilimia zaidi ya 95 inaundwa na wachezaji wa Ndani, Spain, Italy,England etc nao vinaundwa kwa asilimia kubwa na wachezaji wa Ndani.
TATIZO LA BRAZIL NI NINI?

Mimi nadhani kabra ya kujua tatizo la brazil ni nini jitahidi ujue tatizo la uwezo wako wa kufikiri na kupambanua mambo ni nini? unadhani ubora wa ligi ya brazil unafanana na ubora wa ligi za ulaya kama England, Spain, Germany, France na Italy.
 
Hivi experience ya world cup ni ubora wa kikosi kwa maana ya kuwa na wachezaji wanaofanya vizuri ligi mbalimbali au uzoefu unaousema wa kufanya vizuri world cup? hivi spain before fainal za 2010 south africa walikuwa na record gani ya kutisha kwenye world cup? jipange babu unajiabisha humu huwezi jua wakwe zako wanaweza kuwa ni member humu.
 
unaweza kufananisha makombe ya mbuzi na world cup??

  • Courtoisunawe
 
Mimi nadhani kabra ya kujua tatizo la brazil ni nini jitahidi ujue tatizo la uwezo wako wa kufikiri na kupambanua mambo ni nini? unadhani ubora wa ligi ya brazil unafanana na ubora wa ligi za ulaya kama England, Spain, Germany, France na Italy.
kwahiyo kwa mtazamo wako ubora wa ligi ndio unafanya timu ya TAIFA IWE NZURI? AU ENGLAND WENYE LIGI BORA DUNIANI(MOJA YA LIGI BORA KABISA) MBONA NI MDEBWEDO WAKIFIKA WORLD CUP?? JITAHIDI KUWA ANALYST KABLA KUPOST VITU
 
Come on Germany, let's make this world cup ours! I'd prefer to see Hummels and Boateng at CB with Schweinsteiger and khedira playing cdm with Kroos rotating with Khedira and Ozil for the cdm and #10 spot respectively. Gotze as a false 9 with Reus and Muller on the wings

BOATENG hawez kuanza mbele ya Per Mertasacker wa Arsenal pale Ujerumani!!!!

Afu inaelekea hiyo UJERUMANI inaelekea huwa unaifatilia kwenye WC tu, Ushaona lini Podolsk amekaa bench Ujeruman kama Hajaumia???

Kwenye WC qualifying matches, Kabla Per Mertasacker kuumia alikuwa anacheza katikati yeye na Hummels, Boateng alikuwa anacheza Pembeni..

Baada ya kuumia Podolsk kipindi kile, Gotze alikuwa anapokezana na Andre Schurrie wa Chelsea!!!!

BOATENG hawez kucheza katikati hata kidogo, Kama per mertasacker ni mzima!!!!
 
Nimeshtushwa na kikosi cha Brazil World cup 2014
kwanini? kati ya wachezaji 23 walioitwa ni wachezaji 3 tuu ndio wanaotokea katika ligi za Brazil, wachezaji hao ni makipa wawili wa resevu na mshambuliaji mmoja!
hivi ni kweli nchi nzima na ligi kuu ya Brazil haina vipaji vya kuchezea World Cup? mbona inaaminika Brazil ni nchi yenye wachezaji mahiri na vipaji kedekede?
Nimeangalia kikosi cha UJERUMANI asilimia zaidi ya 95 inaundwa na wachezaji wa Ndani, Spain, Italy,England etc nao vinaundwa kwa asilimia kubwa na wachezaji wa Ndani.
TATIZO LA BRAZIL NI NINI?

Wachezaji wa uingereza huwa hawachezi nje ya England kwa sababu ya gharama kubwa za kuwanunua na kuwalipa mishahara ,ndio maana wanabaki England.Ni wachache tu waliocheza nje kama Gary Linekar,McManaman,Beckaham na majuzi Gareth Bale.
 
Pamoja na kuwa Brazil wana vipaji vingi vya soka lakini bado wachezaji wao wana develop vizuri zaidi kwa kupata exposure ya ligi kubwa za Ulaya. Ujerumani, England, Spain au Italy tayari wapo kwenye ligi kubwa duniani zenye mchanganyiko wa wachezaji mahiri kutoka mataifa mbali mbali duniani. Sio Brazil tu hata ukiangalia Argentina asilimia kubwa ya kikosi chake kinacheza Ulaya.
 
Simple logic. Wachezaji wa wanaocheza nje ya Brazil wanauzoefu wa kimataifa hivyo itasaidia kutoa upinzani kwa timu ambazo wanachezea ligi
 
Mario Gotze, Muller, Khedira, Ozil, Kroos, Reus....Wajerumani wanatisha na wanalitaka sana hili kombe natabiri hawa jamaa waweza libeba kombe.
 
Nimeshtushwa na kikosi cha Brazil World cup 2014
kwanini? kati ya wachezaji 23 walioitwa ni wachezaji 3 tuu ndio wanaotokea katika ligi za Brazil, wachezaji hao ni makipa wawili wa resevu na mshambuliaji mmoja!
hivi ni kweli nchi nzima na ligi kuu ya Brazil haina vipaji vya kuchezea World Cup? mbona inaaminika Brazil ni nchi yenye wachezaji mahiri na vipaji kedekede?
Nimeangalia kikosi cha UJERUMANI asilimia zaidi ya 95 inaundwa na wachezaji wa Ndani, Spain, Italy,England etc nao vinaundwa kwa asilimia kubwa na wachezaji wa Ndani.
TATIZO LA BRAZIL NI NINI?
we bado haujiu Brazil, tena hapo kwenye kikosi hicho nafuu kuna miaka ya zamani kulikuwa hakuna mchezaji hata mmoja toka ligi ya ndani! Hii inadhihirisha kuwa Brazili ni bora kwa vipaji inaweza tengeneza timu za taifa 100 toka wachezaji wake waliopo ligi za nje na wakafanya vizuri. kila ligi kuu nzuri ulaya ina wachezaji wa Brazil siyo chini ya 20, fanya utafiti. kila mchezaji mzuri akionekana brazil huvutwa nje ya nchi, ndiyo maana.
 
Wachezaji wa brasil wanapokua kwenye timu ya taifa ndo wanakua wakali vibaya, sasa subirini ao spain na german waje wafungwe mengi mara hii ndo mtamjua NEYMAR J.R
 
Wamepelekwa makusudi nje ili wapate mbinu za wenzao wakija wanachanganya na samba yao baaasi,alafu usimdharau mzee P.Scorali ni hatari sana na kumbuka ndo kaifunga France juzi 3-0 baada ya miaka 26 toka Brazil waifunge France.
 
Nadhani kamati ya ufundi ya Brazil watakuwa wameangalia "uzoefu" wa mechi za kimataifa. Sidhani kama timu zinazocheza league ya ndani ya Brazil zinapata nafasi ya kucheza mechi nyingi za kimataifa na za ndani kama ilivyo ulaya. Mfano EPL, wanacheza mechi nyingi sana kupitia UEFA na UEFA CUP, hii ni kwa nchi karibia zote za ulaya wanachama wa UEFA. Na hata ndani ya nchi zenyewe kuna mechi nyingi nje ya league mfano Uingereza uanze na "Emirates Cup" ya Wenger, Carling Cup, FA Cup, BEPL yenyewe. Hadi wanamaliza msimu wanakuwa wamecheza mechi nyingi sana zinazowajengea uzoefu wa mechi tofauti na Brazil!!!!!!!!!!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom