Ehud
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 2,685
- 337
Mh! hivi wewe mbona huwa ueleweki mara unawaponda waislam unawaponda unawaita wanywa kahawa na kashata tu leo tena unasema unawafagilia huwo unaitwa UNAFIKI wewe waislam kwako ni wajinga siku zote, unatamani mambo ya wanywa kahawa na kashata leo hii?
Nauliza tu......
Kwani wanaotaka kumng'oa Gadafi ni Wananchi wa Libya au Waislam?