Atclkwanza
JF-Expert Member
- Dec 20, 2015
- 823
- 998
Kukaa kimya nako ni bora,kama hujawahi kusafiri na ndege tulia,kwa mfano ikitokea kuna tatizo lakiufundi limetokea kabla ya muda Wa kureport kufika unatarifiwa kwa kupigiwa simu,SMS wasipokupata hewani na emailnina wasiwasi wew sio mtanzania! Nairobian??
afu ni lini shirika limeanza kuwapigia abiria wafika mda fulani? kama hii kupigiwa simu imeanza leo sikushangai!!